Napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha Graduates wote JamiiForums hapa ndiyo Home of Great Thinkers pia napenda kuwakaribisha wana UDOM kwa kipekee zaidi msijikie kama mko Dodoma.
Pia katika...
Kuweni makini
Masai mmoja mwenyeji Wa karatu, kapandishwa mwendokasi akiwa na lengo la kufika Arusha, masai huyo aliyeonekana mkali sana akiwa eneo la kimara baada ya kuambiwa watu wote kuwa basi...
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2]
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na...
Lakini wanaume wa Dar nani kawaroga?? Wanaume wa mikoani tunakula ugali maharage nyie mnakula chips hadi mnaandaa matamasha ya kula chips mayai? Hivi hizi heshima kwenye ndoa zenu zitaletwa na...
Naandika hili tukio nikiwa nina furaha kwani naskia wimbo wa Raymond - Huku kwetu ukiwa unajirudia rudia ndani ya akili yanguu. " Huku kwetu ukifua viwalo kumbuka kuvilinda ....sijui nini na...
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2]
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na...
Here we Can Meet,discuss,Enjoy and Share the Opportunity of Bond,between Wajumbe.....
RIP Kilagane
RIP Mukurasi
and all that,
Karibuni Watoto wa Zuberi,na Msambichaka......
(1)Rais Mkapa Kuwaita Watu Malofa
(2)Rais Kikwete Kusema wanafunzi wanaopata mimba wana kiherehere
(3)Rais Magufuli kusema kuwa wanafunzi wenye Div Four ni Vilaza
(4)Dkt Willbroad Slaa kumwita...
Today is hump day aka Wednesday.
It's called hump day because it's the middle day of the work week.
Thus, it gets you over the hump to the weekend.
I'm just sitting here bored to death, up to...
kwa heshima na upendo wa moyo wangu.. naomba kujitokeza mbele ya jukwaa hili kwa sababu maalum. sababu ambayo imenifanya nihisi nimwenye kupaswa kuifanya. Naomba mnisaidie kumuwish heri ya...
wabongo bwana. kwakujifariji tuko vizuri!
eti unakuta mtu ana simu aina ya OKING
ukimuuliza simu yako ni aina gani
anakujibu! OKING X2 new model.
ilimradi umuone hana simu feki
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao"MSAMAHA".
2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.