Kwa anaeishi Dar atakubaliana nami, hebu hapo ulipo kama upo Dar geuka kushoto,kulia,nyuma, mbele, nipe hesabu ya wanawake waliovaa mawigi na wenye vitambi,
Source mimi mwenyewe niko manzese
Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani, sasa Lengo la Jumuiya hiyo ni kupata Fedha za kutunisha Mfuko wa Jumuiya...sasa unakakaa mbele kabisa ili Muda wa Msosi usichelewe na kukuta...
Kuna shindano lilitangazwa la kumtafuta mtu mvivu kuliko wote duniani.mchakato ulifanyika mwaka mzima, wengi walienda kuhudhuria na kushiriki hilo shindano mwishowe wakapatikana watu watano kwenye...
kulikuwa na mkutano wa Marais ulikuwa unafanyika Huko New Work Marekain. Marais wote walikuwepo na kila rais alitoa ushuhuda namna gani dawa ya kuondoa usahaulifu imemsaidia baada ya kuwa wengi...
Siku moja mama mmoja alitoka kazini akamkuta mume wake katulia na ypu makini sana anaangalia cheti cha ndoa na mzungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:
Mke:-Habari za jioni baba...
Mume:-Nzuri...
Nafurahi kuwajulisheni nyote kwamba kuna vyuo kumi vimefunguliwa maeneo mbalimbali nchini, vikitoa kozi mbalimbali na kubeba majina ya watu maarufu kama ifuatavyo:
Benjamin Mkapa Institute of...
wabongo tuna tabia fulani hivi ambazo sometimes huwa kero, kama vile;
1.Kuulizia bei vitu vya mwenzio, akikuta una simu ataanza umenunua sh.ngapi?, akija geto akikuta kitu atauliza..... ni...
Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani, sasa Lengo la Jumuiya hiyo ni kupata Fedha za kutunisha Mfuko wa Jumuiya...sasa unakakaa mbele kabisa ili Muda wa Msosi usichelewe na kukuta...
MKE NA MUME WAKIANGALIA MECHI YA ARSENAL NA CHELSEA:
WIFE: Baby, yule ni nani? Ni Chris
Brown??
HUSBAND: Yule ni Theo Walcott
WIFE: ile Yellow Card ni ya nini?
HUSBAND: ile ni ya Onyo, na Red...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.