lugha hz dah ebu chek hii
kama ifuatavyo:-
Daktari : mama, umezaa JEMBE yaani..
MAMA : akazimia akizani jembe la kulimia kumbe dk. alimaanisha mtoto wa kiume
Yaani kuwa mfuasi wa chadema ni sawa na kuwa mfuasi wa shetani, ukiwa mfuasi wa shetani akiona unataka kumuacha anajitahidi akuue ili ufe kama mfuasi wake, na ndiyo ilivyo chadema...
Kwa Kuwa Watz wengi tunalalamika sana ama kusengenya sana
Ukikutana na Rais Magufuli Utamuuliza swali gani?
au utamwambia nini cha maana kwake na kwa Taifa?
Unakuta jamaa anamuimbia manzi kila siku kuhusu kutaka kumuoa.
Jamaa anagharamia bata zote lakini hayupo tayari kumsaidia demu ake katika shida muhimu ?
Ni kijiswali tu ?
mtoto : baba, jana mama nilimuomba pesa ya kunyoa kaamua kuninyoa kipara
baba : shukuru mwanangu ungemuomba pesa ya whitedent si ndo angekung'oa meno
.%_%
Enzi nasoma shule ya msingi ukichonga tu penseli pande zote mbili utasikia "aahhhh...hayo matusi"...au wengine wanasema "wewe hiyo tabia mbaya"....Na wengine walienda mbali zaidi na kusema...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza ni kwanini Watanzania wengi wanapo ongea Kiingereza wanarembua, wanafumba fumba macho na kupepesa nyusi, kwanini hawafanyi hivyo wakiongea Kiswahili au ni utamu...
Naikumbuka michezo ya:
A: Kutengeneza manati na kuwinda ndege porini,kuku wanaodonoa mahindi au unga uloanikwa nk, shabaha ilikuwa Sifa muhimu kwa mmiliki wa silaha hii, walioishi kwenye ngedere...
Natumaini kwa sasa kila mmoja ameshajua hatma yake kuhusu TCRA katika Uzimaji Simu Feki Hii itasaidia saana kuepukana na kero mbali mbali zinazojitokeza kwa watu !!Asaaanten Tcra[emoji12] [emoji12]
Tulipokuwa Wadogo,ukienda Kucheza Mbali Na Nyumbani Kidogo Hasa Hasa Mpira Wa Miguu, Mtaa Kwa Mtaa.Ukichelewa Kurudi Nyumbani Tayari Jua Limekwishazama,hapa Kuna Ka-jua Fulani Ka Mwisho Mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.