Mmasai mmoja mwenyeji wa karatu, amepandishwa *Mwendo Kasi* akiwa na lengo la kufika Arusha, mmasai huyo aliyeonekana mkali sana akiwa eneo la Kimara baada ya kuambiwa watu kuwa basi letu...
Habari wanajamvi?
Leo kumekua na video ya msanii anaejulikana kwa jina la Yang dar es salaama akiwa kama kawehuka fulani hivi ndugu wanamshika kumpakaiza kwa bajaj sujui kumpeleka hospitali au...
Hawa watu wanaojiita et mim ni team kingkiba na team diamond au team bell 9.
Mim siwaelewi bwana utawakuta wamekaa kubishana na kurushiana matusi ya ajabu kisa vipaji vya watu...
Mwalimu, "James ungependa kuwa nani ukiwa mkubwa?"
James, 'Napenda kuwa tajiri mkubwa, nimiliki magari na majumba ya kifahari, halafu nioe na kumpangishia mke wangu hoteli huko paris, nimnunulie...
wasalaam, wandugu watanzania wenzangu. Naomba waliopo mikoani wanijuze Bei ya Mashamba kwa heka Moja.
Niwapi Ambapo Ardhi ni bei nafuu, nataka kuwekeza kwenye kilimo wandugu.
Asanteni na Mungu...
Kumdanganya demu kazi rahisi sana.
Dem. Baby unaeza kuongea kitaliano?? Mana unapenda kuangalia michezo yao af unafurahi kweli.
Jamaa. Ee sana tu naweza ndio..
Dem. Eb ongea tuone.
Jamaa...
Habari za wakati huu wapendwa wa Jamii Forums ningependa tutambulishane tuko katika mahusiano gani na tuna watoto wangapi ili kuondoa utata kwa wale wanaovamiana PM na kukurupukia wake au waume za...
Jamaa kaaga kwa mkewe Neema anaenda Songea kwa wiki nzima,kumbe kahamia kwa mchuchu nyumba ya pili toka kwake,..
siku ya kwanza akalala,asubuhi alipoamka akamua kuchungulia kwake kukoje,si...
Mhindi akijifunza methali
Methali : Nyani haoni
Jibu: Varisa miwani
Methali: Debe tupu
Jibu: Weka dengu ama choroko
Methali: Maskini akipata
Jibu: Iko acha iba katika jumba ya watu
Methali...
Majirani bwana
Ukiingia geto na mwanamke hata iwe usiku wa manane yaani lazima wamuone na wasimulie alivyo
Ila sasa aingie MWIZI hata mchana kweupeeeee eti hawamuoni
*ShenzyType*[emoji13]...
Nimepata mgeni nataka kumzungusha kdg sasa huu mwezi ni mgumu places nyingi Dsm zimefungwa kupisha ramadan. Mwenye kufahamu club ambayo naweza kwenda leo ambayo inaendelea kuwa wazi no matter ramadan.
Natamani Madaladala Yote ya Mbagala Yasiwe na Siti (kasoro dereva tu)
Natamani Kusiwe na Kifo Tena Duniani
Natamni Kusiwe na Kula iwe ni KUVAA TU
Natamani Tusiwe Tunaoga
Natamani Nyerere Afufuke...
Ramadhan Kareem! kwa wadau wote wa jukwaa..
Mfungo unaendelea na sijui kama leo ni 3 au 4.
News Pendwa tena, hizi hapa.
1. Niwapongeze wazaliwa wote wa Mwezi huu wa 7 na mimi nikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.