MARRIAGE AND BRIDE PRICE ACT No123 of 2016
Pride price must be Tzs 700,000 with the following
deductions.
Not educated - Tzs100,000
Not a virgin - Tzs 250,000
Comes with kids - Tzs 80,000 ×...
Mama: Mume wangu unapenda kutumia kijiti cha meno ndio maana vinaisha haraka.
Baba: No mwanao Jose ndie anamaliza hivyo vijiti maana akishatumia anatupa mimi nikishatumia narejesha humo humo.
wabongo tuna tabia fulani hivi ambazo sometimes huwa kero, kama vile;
1.Kuulizia bei vitu vya mwenzio, akikuta una simu ataanza umenunua sh.ngapi?, akija geto akikuta kitu atauliza..... ni...
Philosophers talked of so many things, the following are some of the philosophical quotes.
· Love is the master key that opens all the gates of happiness.
· You come to love...
Habari za wakati huu wakuu?
Hivi ishawahi kukutokea umebanwa na haja (mostly haja kubwa) uko mbali sana na washroom letsay uko ndani ya gari.
Ukavumilia vizuri tu, Ila kila unapokaribia kufika...
HAPPY BIRTHDAY TO U KAKA MPENZI kabanga
Mungu akupe maisha marefu yenye fanaka ...
na akupe kiu ya kutafuta pesa na kunipa mimi..
tukutane jion chei chei bar kuna keki yako pale.....
.
namtafuta baba yangu utafiti popote ulipo na atayemwona ampige na picha au mshike mkono mleteni hapa ...
miss you dady tokea upate mke mpya umeniupa mwanao loh baba sina hata hamu..
ila jua...
SWALI KWA wanaume !!
Ebu Tuambiane ukweli katika hili please!!
Upo home unaishi na wazazi pamoja na
dada yako,
sasa dem wako anakwambia bwana
nataka nije kwenu alafu ukicheki home msala kwa wazazi...
Juzi katika pilika pilika za kusherehekea pasaka nilienda ufukwe flani hivi ulioko pembezoni mwa ziwa Victoria, sehemu ile palikuwa pamependezeshwa na burudani mbalimbali za michezo ya watoto...
Mzungu: Unajua kuogelea?
Mugabe: Hapana!
Mzungu: Basi Mbwa ni Bora kuliko wewe! anajua kuogelea!
Mugabe: Kwani we Unajua Kuogelea?
Mzungu: Ndio!!
Mugabe: Sasa tofauti yako na Mbwa iko wapi?
Wakuu wangu nawasalimia,
Ni avatar ipi ya mwana JF inakufurahisha zaidi?Aidha unacheka,unatabasamu,unaipenda au inakufanya umtafakari huyu mwenye hiyo avatar?Mimi kuna avatar huwa nikiziangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.