JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Breaking News Hatimaye mpira aliopiga mshambuliaje wa Argentina lionel Messi waonekana Uganda ukiwa unaendelea na safari (source setlite)
1 Reactions
5 Replies
2K Views
hawataki kuoga! no kupiga mswaki.. nguo ndo kabsaa!!!
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Mzungu alipita na nyani wake karibu na muuza ndizi,nyani akapora ndizi akala muuzaji akamaindi,mzungu akasema unamaind nini wakati ndizi kala ndugu yako?mzungu akaondoka aliporudi akakuta nyani...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello wanajamvi! Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari. Erickb52 na Chocs watu8 na measkron marejesho na...
19 Reactions
1K Replies
41K Views
For my birthday I want world peace, to end hunger and pain, to end global warming, to end racism, for people not to judge others by the outside, for all ages, colors, races, and other differences...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
mi siamini km hakuna mungu mi siamini km kuna ktu cha bure duniani mi siamini km maisha magum yanafanya mtu kua changudoa mi siamini uongo mi siamini km duniani kuna masikini mi siamini km furaha...
0 Reactions
3 Replies
875 Views
Hebu niambie. Itakuwaje endapo...... - Nitamgombeza na kumchapa sana msichana aliyevunja ungo kwa kuharibu kifaa muhimu cha nyumbani. - Nitamkamata mwizi siku ya kwanza kabla hajafikisha siku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbongo akiwa dubai kashika sigara anataka kuwasha na hajui jinsi ya kuomba kibiriti kwa kiarabu.mara akamuona mwarabu anavuta sigara ikabidi aombe kiroho ngumu HELP ME JEHANAMU heheheh
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna shee hapa mtaani kwetu ni swala tano kama mnavyojua waheslam wanao shika dini yao vzr mda waku swali ukifika lazima aswali wanaita swala tano Sasa kinacho ni maliza ni hiki hapa she e...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
"Leo Ni Kesho Uliyoihofia Jana" Huu Ni Ukumbusho Kuwa Maisha Ni Mapambano. Tuheshimiane Na Kuthamini Mawazo Ya Wenzetu Ila Sio Kuogopa. Uoga pekee Ni Dhambi Kwa Mungu. Unamuogopa Nani?. Yeye Kama...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wanabodi, Unakumbuka nini ukisikia majina haya chini? Kipi kinakuja kichwani mwako endapo ukiona moja ya majina haya? -Urafiki Club -Arnatouglou -Summit Kilimanjaro Hotel -Vijana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
We Hamnazo we, Kwa uzembe wako wa shule tangu ulipoponea chupuchupu Form 2, sikutumii tena hela za matumizi mpaka utakaponipa jibu la hesabu hii ya kujumlisha hapa chini. Kila herufi katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msema kweli mpenz wa Mungu.... Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick...
7 Reactions
262 Replies
13K Views
Watu kweli wamezoea vya kunyonga!!!!.... WABONGO SINA HAMU NAO...!! Jamaa alinunua friji jipya, akawaza namna ya kuondokana na lile la zamani, basi akaliweka nje ya nyumba yake na kuandika kibao:-...
12 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamaa aliaribikiwa na gari usiku ikambidi aende nyumba ya jirani na hapo kuomba hifadhi ya kulala. Mama mwenye nyumba akamshauri mumewe kwamba sababu chumba hamna mgeni alale na baby! Jamaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kati ya mwanaume na mwanamke nani anapaswa kumuhonga mwenzie???
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kila mtu ataje neno hilo kwa lafuzi ya kabil lake,,,, haya naanza na Kigogo = AFWAZALI!!!! si lazima liwe kabila lako.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
This time naandika hapa...hope wengine wamelala ila kuna wengine bado! Niko na mood ya kuchat...about maisha na issue zingine za kiungwana zaidi! Kama vp tupia namba yako tuchat whatsapp! Ofa kwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
SHERIA YA NDOA NA MAHARI No123 of 2016 Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo Hajasoma - Tzs100,000 Sio bikira - Tzs 250,000 Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto) Hawezi usafi...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
dah! Ma fellow members nna tatzo nna wiki sasa chakula hakipiti sioni cha kufanya wala kushika nlikuwa na mpenzi wangu tunapendana sana yan bt siku ya siku nlimkwaza k2 kdogo sana sasa ndo ikawa...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom