nmefkiria miaka ya mtu ingekua aihesabiwi mtu anapozaliwa. inekua inahwsabiwa mtu akianza kusaidia jamii. mtu akisaidia jamii kwa mwaka mzima miaka yake inaongezeka km mtu haisaidii jamii miaka yk...
Nimekuja hapa Samaki Samaki ya Mlimani City dakika chache zilizopita lakini sina kampani.
Nahitaji kampani ya mchuchu ila kuna sharti moja tu jepesi - nahitaji mchuchu ambaye hayupo singo.
Yaani...
Jmn nina girl wangu aliachana na boy wake naalichange line asisumbuliwe lkn chaajabu leo yy ndokamtafuta jamaa anadai anataka amuambie ukwelianamtu wake... Je nia yake inaweza kuwa ni ipi guys
Waganga mahitaji yao bana eti;
1. Niletee mkojo wa chatu
2. Niletee jisho la kipofu mzee
3. Niletee kidevu cha mzee aliekufa na miaka 90
Ongezea na maneno uliowahi ambiwa na mganga
Mkumbuke hiyo tarehe maana JF toka nimeanza kuijua mwaka 2010 nipo kidato cha tano pale Minja secondary school tarehe 1 mwezi 7, 2016 ndio nimeweza ku~log in nakushare matatizo ya jamii yetu...
Familia moja ilishangazwa pale walipopokea jeneza la marehemu mama yao
aliyefariki nchini Marekani. Lilitumwa na mmoja ya watoto wake wa kike.
Mwili ndani ya jeneza ulikuwa umesongwa sana...
*MAMBO MUHIMU KUHUSU WANAUME AMBAYO MWANAMKE AKIYAJUA HATAPATA UGONJWA WA MOYO....*
KUTOKA MTANDAONI
1.. Wanaume wengi hawawezi kufanya mapenzi na mwanamke mmoja tu maishani mwao.
2..Wanaume...
Habari za humu,kuna kitu kidogo naomba msaada wenu...!
Kama mnavyojua kwenye baraza la mawaziri mpaka sasa kuna upungufu wa kichwa kimoja (Kitwanga hayupo) na ninadhani mkuu atakuwa anaumiza...
1. Post haihusu mapenzi wala mahusiano anaipeleka jukwaa la MMU. Basi tu ili mradi watu waisome na wamuone.
2. Anapenda kuzua ubishi kwenye thread za watu kwa jambo lisilo na ubishi ili mradi...
In his two room apartment,Le mbabazz aliamua kumpa mkali Neyo chumba kimoja kama zawadi baada ya kufanya shoo kali ccm kirumba wikiendi iliyopita.Lembabazz aliamua kutoa room hiyo iliyoko downtown...
*Ooooooop!!*
*_SORRY_*
Wanawake bwana kwa kulalamika eti "0oh nimebeba mimba miezi tisa" mbona sisi tumebeba pumbu tangu wadogo na hatulalamiki.? Au ww unasemaje mwenzangu...
A man goes to a bar with his dog. He goes up to the bar and asks for a drink.
The bartender says "You can't bring that dog in here!"
The guy, without missing a beat, says "This is my seeing-eye...
Mtoto: Mwalimu mimi nataka
nisome darasa la 4 kwani hili la 2 halinifai.
Mwalimu: Kwa nini unasema hivo?
Mtoto: Nina akili...
Basi mwalimu kamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha interview kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.