JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kibaka aeleza vitu vilivyokuwa kwenye pochi ya MWL. Alivyompora, 1: majina ya wapiga kelele darasani. 2: vipeperushi vya mgomo 3:markingscheme 4: list ya madeni anayodaiwa 5: andalio la somo...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Bibi mmoja alipeleka kesi mahakani na mambo yalikuwa hivi: Wakili:Bibi unaweza kuileza mahakama nini kilichotokea? Bibi:Mheshimiwa Hakimu mnamo tarehe husika mida ya saa 2 usiku nikiwa nimelala...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Baba na mama Kaka na mkewe / shemeji walitumia simu 1 yaani msg yako yangu yake yangu, bora ata vingeendelea adi Leo Simu ni Nokia iliyokuja batizwa jina la jeneza baadaye 3310 Simensi...
1 Reactions
2 Replies
907 Views
Kakobe = A very small tortoise Kibonde= A very small valley Kwa hisani ya Safari_ni_Safar
1 Reactions
12 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA Kumekuwa na taarifa ambazo si nzuri juu yangu na zimekuwa zikivuma kwenye mitandao ya kijamii eti mimi situmii pilau, kuku, mbuzi na mambo mengine yanayohusu kula. Nasema...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116] Kuna mahali nmekuta huu ujinga,,,, *mdada ana mimba, na mwenye mimba kamkataa* sasa anaomba ushauri...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello there, I'm looking for any Chinese who wants a friend to get along. I speak Swahili and Mandarin. zhǎo péngyou
0 Reactions
8 Replies
1K Views
:mad:Mabestitooooooooo Nimewamisije mwadila bandugu natumai mko wazima sana na mnaendelea vyema na shughuli zenu Mwenzenu BADO NATAFUTA UMAARUFU WA JF yaani ni kitambo nimezima kama treni ya...
1 Reactions
1 Replies
867 Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mahali nmekuta huu ujinga,,,, mdada anamimba, na mwnye mimba kamkataa,, sasa anaomba ushauri kwa watu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
mi sipo nimeipata tu sehem fulanu
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Andika post ukianza na maneno "Sielewi kwanini....." Mfano mimi naanza "Sielewi kwanini wanaume wenye vitambi wanapenda videmu vyembamba" Haya wakuu, twende kazi.........
2 Reactions
84 Replies
8K Views
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Muhindi 1 alisilimishwa na shekh akamwambia kila unapokula usisahau kupiga Bismillah la sivyo utakua unakula na shetani. Basi yule muhindi kuna kipindi alisahau kupiga Bismillah kwa miezi 2 ,basi...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Huu wimbo naulewa sana sio mbaya jumapili kama hii ukatulia nao changanya na The script
1 Reactions
1 Replies
792 Views
Habari wana JF chit chat kama mnavoona skukuu iyoo ishapiga hodi. Naona wazee wa maeneo nao washaanza kucheki mapochi yamekaaje... Ebu tukumbushane maeneo mazur ya kuenjoy na activity nzuri za...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Hiv inakuaje mtu kwenye simu unaweza kutongiza demu lakini ukiwa nae live unakosa cha kuongea Msaada plz!!!
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Naomba muwe wavumilivu bado kidogo Mods walale kuna habari nataka niwajuze. Kama nikiiweka sasaivi wataifuta na mtakosa fursa ya kuisoma. Bado Mods wawili tu ndio wapo macho mpaka sasa.
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom