JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jina tunda unaweza kumpa ex wako wa mwisho??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaa alikuwa ana tabia ya kukojoa kitandani baadhi ya siku. Akafikia kuoa. Katika ya siku za mwanzo baada ya harusi, siku moja kama kawaida yake alijikojolea. Akapiga kelele “Mungu wangu eee”...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
763 Views
kabla nisahau, let me share vile eid yangu ilikua kule mkoani. hii ni jana after amina kunitumia 'please call me" sir.Mokoyo akiwa amepiga appetizer ya ugali. hapa anangoja biriani cousin...
0 Reactions
2 Replies
650 Views
Wadada wa mwendo kasi kazi mnayo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Muwe makini:Kwenye chuo kimoja cha kitabibu prof aliwaingiza wanafunzi kwenye chumba chenye maiti akawaambia sifa ya udaktari ni kutokuwa na kinyaa, pili ni kuwa makini. Akaingiza kidole kwenye...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwalimu aliingia darasani akauliza, "Kwanini mapenzi yana nguvu kuliko vita?" MWANAFUNZI akajibu,"kwasababu CONDOM bei nafuu kuliko Bunduki..." [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
996 Views
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND 1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2] 2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Nipe KINANA ya baridi=Nipe NDOVU ya baridi.. Mengine unayoyajua..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Usimfanye mwanamke akalia, chozi la mwanamke ni la gharama sana. Tone moja tu la chozi lake linatoka na: Kwanza linachanganyika na eye liner ya 45,000, na mascara ya 63,000 halafu likifika kwenye...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, Mimi kuna msemo unanikera maana unageneralize "wanaume wa Dar". Alafu mbaya zaidi hadi wanaume wenzetu kutoka mikoani wanatusema. Kuna wengine ndo kwetu na wa mkoa wakija...
4 Reactions
107 Replies
10K Views
Kuna mambo mawili ukizaliwa na kuishi yatakuhusu 1. Ni ama wewe utazaliwa mwanaume 2. Au wewe utazaliwa mwanamke Kama wewe utazaliwa mwanamke uko salama, Lakini kama wewe utazaliwa mwanaume...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Tangu mwishoni mwa wiki iliyopita mchepuko wangu umekua ukidai idd imekaribia hivyo inakuaje? Kila akianzisha mada ya idd mm naingiza mada nyingine, hivyo hivyo hadi Jana alipoomba kuonana na mm...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimefanya uchunguzi hapa mjini dsm almost 90% ya mambo ya kioffice yametawaliwa na wahind...na manyanyaso bado yapo maoficne...rushwa za.ngono bado zipo.kwa hawahawa wageni...sijui tanzania...
0 Reactions
3 Replies
992 Views
What up y'all? Easy like Sunday evening.... Leo ni zamu ya wadada wa mjini kuja kula good time na Mr. Panty Melter. Unajua kila sehemu na levels zake. Kwa hiyo leo nataka kampani ya wadada wa...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Wana meta, natafuta house girl mwenye sifa zifuatazo;- 1. Amzidi Mke Wangu kwa uzuri 2. Amzidi akili 3. Amzidi taarifa 4. Amzidi usafi 5. Amzidi ujuzi wa kupika 6. Ajue ninayoyapenda na...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
*Halima*: Tumbo linaniuma sana toka jana *Daktari*: Pole, utapona ulikula nini jana? kabla ya tumbo kuaza kuuma? *Halima*: Pizza, keki, nyama choma na juisi *Daktari*; Tafadhali sema Ukweli...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alikosea kutuma pesa akatuma milioni mbili kwenye namba ambayo si kusudio lako. Akafikiria cha kufanya akaja na hii. ‘ Hello natumai u mzima. Naamini umepokea pesa niliyokutumia. Ni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom