Ndugu wana jfchat napenda kuuuliza hili swali kwamba je hivi vyombo vyetu vya habari hapa nchini vinatoa mchango gani kwa watu wa chini ??
Kwa sababu kuna kero nyingi ambavo vyombo vya habari...
Rejea tu kichwa cha habari na mfikishie taarifa hii kila unayemuona. Kwa jinsi walivyojazana hao Trafiki leo Mtu kula " umeme " ni muda na wakati wowote.
Tuwe makini!
Salaam..
Sasa leo niko tofauti kidogo,sio kila uzi ni matatizo tu na kuomba ushauri ila leo nataka tucheke..
Ikiwa una mpenzi wako na kila siku anakuita mpenzi ila hajawahi kukupa ile tamu,basi...
Mwanamume akapiga chakula mwenyewe nyumbani, akaachia chakula kadhaa kwa mkewe kila mara......
Siku ile mkewe akampiga, yule mume akalilia na kamuliza: kwa nini unipige?’
Mkewe akasema: Hii...
Leo asubuhi nimekutana na kitu cha ajabu. Mpaka sasa mwili unasisimka! Tofauti na binadamu wa kawaida yeye macho yake yako kifuani na siyo mawili bali manne!Ukweli miguu sikuiona ila kichwa...
Hali ya kisiasa kisiwan unguja imeendelea kuwa tata baada ya wazir kushindwa kupata kitoeo cha samaki juzi mnadan hali ilikuwa hiv mnadan
Muuzaji ;samak huyu 2000/= bei ya kwanza????
Mteja 1#...
Wanawake bwana kwa kulalamika eti "0oh nimebeba mimba miezi tisa" mbona sisi tumebeba pumbu tangu wadogo na hatulalamiki.? Au ww unasemaje mwenzangu....?
"Nilitamani niwe hakimu ni wahukumu watu wabaya hasa waliohusika kwenye kifo cha baba yangu lakini nimeishia kuwa daktari nayaokoa maisha ya watu hata wawe ni majambazi" (mwisho wa kunukuu)
Je...
Mtoto mmoja akiwa anatoka shule akielekea nyumban aliona paka mdogo akiwa amekufa. Akamsogelea na kumgusa kwa huzuni. Akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena...
Kuna wakati nilikua napenda sana kutizama movie za porn kwenye laptop yangu. Sasa siku moja nikawa najiandaa niwahi kikao ambacho mimi ndiye nilikua presenter. Kwa vile muda ulikua bado, nikafanya...
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima anasakkwa na jeshi la polisi sana ili akatoe maelezo ambayo jeshi hilo lina yahitaji mara baada ya sauti iyosambaa katika mitandao ya jamii ikizungumzia...
Watu wote tunaishi kwa bajeti ila hii ni kiboko
Mkinga mmoja alitumbukia kwenya kisima cha maji , akapiga kelele mkewe akaja na kamba mpya amrushie ili amuopoe, badala ya kuishika...
Jamaa mmoja alikuwa amekaa ufukweni mwa bahari mara akapita mzungu akamuuliza,Are you relax..?
jamaa:No
sekunde chache kidogo akapita mzungu mwengine akamuuliza jamaa,Are you relax..?
Jamaa:No...
Habarini!!!!
Hivi sasa kumekuwa na hali ya watoto wanaozaliwa wanapewa majina ya kwenye tamthilia hasa hili jina la 'Nicole'. Hata humu ndani kina Nicole na mama/baba Nicole wapo wengi sana.
Je...
Yani wanawake huwa hawaamini na haiwaingii akilini kuwa wanaume hushindwa kuwapata/kukubaliwa pale wanapotaka mzigo.
Utasikia" unashindwaje,yani me ningekuwa mwanaume hakuna demu angekataa"
Jinsi kuificha pm yangu yan mchumba wangu anapenda kufungua jf na kwenda moja kwa moja kwenye inbox cjui anatafuta nn je nawezaje kuweka password? Ili asione
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.