JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Uwiii baridi kaliiii jamani, atakae kuna kunitoa ajiandae tu na Amarula, shishaaa kidogo nivute uwiii nipate joto. Ila asie na usafiri anisamehe asintafute maana sitaki kutembea kwa miguu[emoji7]
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi nimeshinda milioni saba Leo na elfu arobaini wale wazeee WA mikeka mkeka wangu niliweka ile ya 2+ Ndugu zangu nipo now tabata segeraa toroka uje ila hamna watoto ninaotaka ...
4 Reactions
71 Replies
8K Views
Nafanya tafiti, kwa nini bar hazijai wanywaji. Mupemupe nazo zimepungua... Nahitaji comments kuestablish hypothesis
0 Reactions
12 Replies
2K Views
1. Kama raha inaua sumu ya nini? 2. Mtoto wa mjini huwa halali njaa,huwa anachelewa kula. .............haya tuendelee
3 Reactions
46 Replies
105K Views
kama ulishidwa kwa JK, je kwa JPM UTAWEZA? 1: Kama ulishindwa kupiga madili kwa JK, je kwa JPM utaweza? 2: Kama ulishindwa kuongea utakavyo kwa JK, je kwa JPM utaweza? 3: Kama ulishindwa kutoka...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari za hapa!!!!!! Kwa mtazamo wako tangu umejiunga JF hasa MMU ni ID gani inajua kutoa nyuzi nzuri sana zenye maadili kwa jamii hasa MMU na hazijui kuchangia nyuzi za wengine. nitaanza na #lara...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii imekaa njema sana.... Urafiki wa mwendo kasi Uchumba wa mwendo kasi Ndoa ya mwendo kasi Talaka ya mwendo kasi ................ Mtaaani kimwendo kasi na vibegi vya mwendo kasi. Ongeza yako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mfano uko zako barabarani unenda home ukakutana na mtu anauza CD za xxx ukachukua nakala moja kufika nyumbani unaweka uitazame unakuta ni mahubiri. je ? utakasilika au utashukuru Mungu
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mmeo/mkeo /mama yako /baba yako/ watoto wako / toa yaliyo moyon
0 Reactions
18 Replies
2K Views
1.wachaga 2.wahaya 3.wanyakyusa
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Naanza Sıamını kama mıtumba ımepıgwa marufuku! sıamını kwamba ktk nchı ya mazıwa na asalı tutaıfıkıa! Endelea hapo huamını kwamba....................
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimenunua shamba, nataka vijana wawili wachapakazi. Je ni makabila gani nisiwachukue ili plans zangu zisifeli? Na je watu wa mikoa ipi watanifaa zaidi?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kutokana na kila siku kukabiliana na visa vya watu kuumizana vibaya kwenye mapenzi, tumeamua kuanzisha utaratibu wa kutoa bima za mapenzi kwa wanaohitaji ili kuwasaidia pindi wanapokuwa wahanga...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Just thinking loud if :- *MARRIAGE AND BRIDE PRICE ACT NO 123 OF 20...... year* Bride Price Must not Be More than TZS 700,000/- With the following deductions:- - Not Educated (TZS 100,000/-) -...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Nimeamka asubuh leo nlikuwa najiandaa kwenda kazini nlipowasha simu zimeingia meseji nyingi toka kwa majiran zangu wakinionya nisitoke nje maana nyumba yangu imezingirwa. kweli nimechungulia...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Ni sehemu wanapokutanika wabaya na wema Wachawi na watakatifu Wapiga dili na wenye kazi za halali Wabangaizaji na watu wa mishemishe Vikao mbalimbali na hata makongamano yenye tija Masela...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Najuta kuchelewa kuwa member wa jf
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Picha kwa hisani ya Madame B Patakuwa hapatoshi, maana bibie kaahidi kufunguka na kumwaga radhi. Asiye na mwana aeleke jiwe na mwenye wivu akufe atuache tupumuwe sie
14 Reactions
186 Replies
23K Views
Mtoto: Eti baba mwanaume ni nani? Baba: Mwanaume ni mtu anayeijali familia yake, anahakikisha wanapata mahitaji ya msingi na anailinda vyema Mtoto: Nikiwa mkubwa nataka niwe mwanaume kama...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Wema Sepetu (kulia) wakati wa hafla hiyo. Stori: Andrew Carlos, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Video ya aibu inayomuonesha msanii maarufu wa filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ akicheza kihasara...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Back
Top Bottom