JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama unafunga basi funga kwa Ustaarabu wako, Kama huu mwezi ni mtukufu kwako basi tambua hiyo sio kwa wote..!! Sasa yale mambo ya mtu anakukuta kwenye starehe zako alafu anaanza kukuhubiria...
3 Reactions
7 Replies
968 Views
Don't fear, for I'm w/ u; don't be dismayed, for I'm ur God. I'll strengthen u & help u; I'll uphold u w/ my righteous right hand -Isa 41:10
0 Reactions
0 Replies
507 Views
CHEZEA GENIUS: Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la 4 kwani hili la 2 halinifai. Mwalimu: Kwa nini unasema hivo? Mtoto: Nina akili... Basi mwalimu kamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
1. Diamond 27 Zarina 35 difference 9 yrs..... 2. Wolper 29 Harmonize 23 difference 7 yrs.... 3. Aunt Ezekiel 30 Mosez 23 also 7 yrs... 3. Aisha 28 Baraka da prince 23 variation 5yrs... 4...
3 Reactions
56 Replies
10K Views
Kuna mdada mmoja tuliwahi kuwa wapenzi kwa kipindi kifupi sana. Siku moja tukapishana kiswahili akajifanya kuzila akawa hapokei simu zangu. Nilimbembeleza sana lakini akawa mugumu sana kunielewa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
ICHANA and the rest
14 Reactions
130 Replies
25K Views
Pale unapofukuzia mchepuko halafu mkeo anatokea
2 Reactions
11 Replies
2K Views
UTAMU WA CHIPS MAYAI. Kwa wanawake : kunenepeana na kujaza mafuta kila sehemu ya mwili na hata Kwenye mirija ya uzazi na kuleta madhara mengi ikiwemo pia mauvimbe na mengineyo mengi wanawake...
2 Reactions
8 Replies
10K Views
Jesca: Mwalimu mimi nataka nisome form six kwani hii form 4 halinifai. Mwalimu: Kwa nini unasema hivo? Jesca: Nina akili... Basi mwalimu kamueleza mkuu wa shule. Mkuu kaitisha interview na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja ivi wa kihindi aliolewa na jamaa mmoja wa Kifaransa,yule jamaa akampeleka kwao Ufaransa wakawa wanaishi huko Ufaransayule mwanamke alkuwa hajui kifaransa akawa kila akienda dukani...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ebwana wanaJF Mzuka! Lile zal la Uli nami nataman nilipate niuage umaskin au hali ngum ya maisha. Tatizo zal kama lile linategemea pia bahat kwasabab kibano cha haja kama kile na dental formula...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Imagine we ni mwanafunzi ulofukuzwa udom juzi,unarudi home unakuta pamebomolewa kisa pako bondeni. Unaenda kwa shangazi hata chai anashindwa kupika kisa bei ya sukari iko juu.unaona bora uende...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Out of curiosity, ningependa kuwafahamu membaz kumi wa mwanzo wa Jf. Hawa ni ma legends, though labda ma admins ni rafiki zao, but ningependa kujua the first time Jf was online, watu kumi wa...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Wadau Back again at the town.. Few days in and things are getting stale.. In need of some cheering up for the weekend..;):p I submit..
0 Reactions
0 Replies
697 Views
1:Gyver Meena 2:Belina Mgeni 3:Nelly Kamwelu 4:Jacqueline Patrick 5:Nancy Sumary Most Beautiful And Sexiest Tanzanian Women You Must See
1 Reactions
52 Replies
10K Views
Habai zenu wana JF Kama wiki moja imepita nilipata mwaliko kwa jamaa yangu fulani huko mkoani ,ni siku nyingi hatujaonana kiasi miaka kadhaa ,ukweli nilikwenda na nilianadaliwa msosi wa maana tu...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi mtoto wa Magufuli hahaha! Siku moja enzi za ubrazamen wangu nilikutana na mtoto mkali sana pande za Mwananyamala komakoma kwa sasa ni msanii maarufu tu. Yule dada alikuwa anaringa sana na...
0 Reactions
10 Replies
22K Views
nil
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wazima, naomba wenyeji wanipe muongozo humu, nimekua mgeni kweli, nnaweza nkavamia makoloni ya watu bure
0 Reactions
5 Replies
958 Views
Back
Top Bottom