JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nilitamani niingie uwanja wa Taifa Nilitamani Nipite Daraja la Nyerere Nilitamani Nipande mabasi ya Kasi Sasa naomba nipite fly over TAZARA wewe je?
2 Reactions
50 Replies
3K Views
.
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Dah,ishakuwa nongwa sasa kila kona kila Mahala utasikia huu mchezo hauitaji hasira,yaani kama kuna mtu anapofolewa vileee,Ila mi sina uhakika...... lakini nataka kujua huooo mchezo usihoitaji...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kutokana na wimbi la mauaji yanayoendelea jijini hapa hasa kwenye nyumba za wageni. Meya wa Jiji na Mkuu wa Mkoa wamepitisha Sheria hizi ambazo zita anza kutumika tar 15/5/2016. Sheria hizo. 1...
8 Reactions
40 Replies
9K Views
Wanajamvi mambo zenu. Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono. wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi...
6 Reactions
254 Replies
16K Views
Unaalika binti date alafu anakuja na maringio, eti oooohh sor!!!! Babe sitakula nikitoka home nilipitia TILAPIA HOTEL nikala kuku.. Wewe na ungentlemen wako unamnunulia whisky ya Jack Daniels ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za usiku huu..... Niko off kwa wiki na nusu kisha narudi kibaruani. Niko nyumbani kwangu na jioni hii nimepata habari ambazo zimenichefua. Gafla nimepata hamu ya kulewa. ... Nataka...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kudos hi!! Kuna mresh ameleta mtoi kwetu akisema ni wangu. Na huyo mresh nilikuwa nimedo naye round Mwenda, but hata nahesabu months since nifunue booty ya mistubishi hata moon Sita haijakaa...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwalimu kauliza swali darasani wanafunzi wataje kazi za wazazi wao: TINA: mimi baba yangu mfanyabiashara mama yangu mwalimu. MWALIMU: Safi, haya juma JUMA: Baba yangu dereva mama yangu hafanyi...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Mlevi kakutwa akikojoa eneo la shule,mwalimu mkuu akamuuliza "hilo bango limeandikwaje?' mlevi "usikojoe hapa".Mwl mkuu "so,unafanya nini hapo?" mlevi kwa umakini na upole akamjibu.. "haki ya...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Kuna mresh ako na ID name reads "RUBY" if hiyo avatar ni yeye pls I have my words for her! Sometimes I feel to ask her but I go cold!! Anyway if she reads along this thread, pls tujuane one Time...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Msomi mmoja mwenye PHD pamoja na kijana mmoja ambaye hakubahatika kwenda shule walisafiri pamoja kwenda kutembelea mbuga moja maarufu yenye maua na ndege wa kuvutia. usiku ulipofika wakaweka hema...
23 Reactions
77 Replies
27K Views
Nimekutana na janaume lenzangu tena lina ndevu nying tu lakini limebeba mdoli,hivi jitu kama hili nyie mnalielewaje wakuu?
1 Reactions
64 Replies
6K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kuna mzee ameokota mfuko ulioukuwa umejaa manoti na kuzipeleka polisini. Inavyosemekana pesa hizo zilitupwa dampo na mfanya usafi katika duka akidhani ni uchafu...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
MAGIC MATHEMATICS This is what I call magic mathematics! Bring out your calculator and do this: 1. Take the last digit of your phone number. 2. Multiply by 2 3. Add 5 4. Multiply by 50 5. Add 1766...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana MMU Salaam; Me ni mkristo,nna mke na nimeoa kwa ndoa miaka zaidi ya 10 iliyopita. Mambo ya Dunia nayo hayakwepeki,nna mchepuko wangu nilioanza nao mwezi uliopita. Mchepuko wangu ni wa...
7 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari za humu ndani, Nimesikitika sana kusikia eti mtu anafananisha beer na tifal za kujengea,tokea lini beer ikafanisha na vitu vya kawaida. Naombeni mawazo yenu
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Usiku kitandani namtatafuta mpendwa wa nafsi yangu nalimtafuta nisimpate . Nikasema haya niondoke nizunguke mjini katika njia zake na viwanjani nimtafute mpendwa . Mpendwa wangu ni kama kishada...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hali ya kuwa na marais wa mitaa mara sjui rais wa kijiji gan mara wa kona street now days wamepngua kama sio kuisha kabisa tangu mh Magu aingie madaraka. Shkamoo mjomba magu.
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom