A 15-year-old came home with a Porsche and his parents began to yell and scream, "Where did you get that car?"
He calmly told them, "I bought it today."
"With what money?!" demanded his...
Yaani kwa mitandao yooooooote hapa duniani basi JF ndio MTAKUJA na HATOKI MTU HAPA. Hivi huyu muanzilishi wa JF katuwekea kimzizi gani?
Maana ukishaizoea JamiiForums utaifurahia kila siku...
Nini ni kile kitu kimoja unakiogopa zaidi na unajaribu kukikwepa kwa nguvu zako zote?!
Kinapokuja unakabiriana nacho vipi?!
Please share your story, it is through reading each other stories...
BEFORE MAGU
Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!..
Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!..
Wakwanza alikuwa...
Natumai mpo sawa wapendwa,
Mimi ni mpenzi sana wa Hizo muvi,
Kwa sasa huwa naingia moja kwa moja youtube na kujipakulia muvi yoyote ile.
Naomba tusaidiane kuelekezana muvi nzuri sana ambayo...
Ndugu Watanzania wenzangu,
Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia...
Habari wakuu,
Naomba nilete kwenu jambo langu mnishauri...
Mchepuko wangu bana unapenda sana utani...Tena nimeshamkataza tabia hii ya utani utani muda mrefu haachi...Yani yeye nikichat nae...
Jana jioni iliingia sms kwa simu yangu, "tafadhali nipigie..". Nikajua labda ni mtu anayenifahamu, nikapiga. Ilipopokelewa tu swali la kwanza, "wewe nani?" Nikawa mkali kidogo maana yeye kama...
Tarehe Moja Nilipoandika UZI Humu TENA Nikijiamini Kabisa Kama Kawaida Yangu Wapo Walionijibu Kwa KUNITUSI, KUNIKEBEHI Na Hadi KUNIDHALILISHA Na Bahati Nzuri Sana Hata Posts Zao Zipo Katika Ule...
Wanajamvi, mimi sjambo.
leo nimejibazanza hapa kwenye ukumbi wa habari maelezo, nikiwa nimetizama ofisi za NHIF, jamani ndani ya dakika tano wamepita wadada, jinsi nilivyo ona na kwa ozoefu wangu...
Ndoto za dr.Pimbi, hahaa@@
####Kuna siku nilikuwa maeneo ya Mjini kati
(City Center), nikaipenda suruali moja ya
shilingi 15,000/= na pesa sikuwa nayo
ikabidi niende kutoa kwenye ATM ya
Postal...