JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mother, “How was school today, Patrick?” Patrick, “It was really great mum! Today we made explosives!” Mother, “Ooh, they do very fancy stuff with you these days. And what will you do at school...
1 Reactions
0 Replies
980 Views
Jana wakati nakiandaa kwenda kanisani nadhani shetani alikuwa anataka kuniharibia upako wangu, nilimuacha mama yoyo akiwa kalala niko sebuleni nataka kutoka nje dada wa kazi akiwa ndani ya night...
13 Reactions
175 Replies
29K Views
eti wanajamvi...!kwanini mtoto anapoumia au anapoadhibiwa hulia 'mama weeee' na si 'baba weeee;'
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika nchi ambazo zinatoa nafasi nyingi za kazi / ajira ni Sudan ya kusini na Somalia, na hazitoi tu nafasi za kazi bali hata kazi zake zenyewe nazo zina mshahara mkubwa na mnono lakini cha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ndugu wapendwa, Naandaa mkutano wa wanaMMU, lengo ni kukutana kimwili (physically) kwa ajili ya kujamiana (kusocialize). Naamini mkutano huo utatoa fursa ya kufahamiana, kubadilishana mawazo...
0 Reactions
71 Replies
4K Views
Ndugu zangu watanzania. Leo ningependa tujadili jambo muhimu sana kwa mustakbali wa nchi yetu. Haswa katika kipindi hiki cha hapa kazi tu..... Leo ningependa tujadili kuhusu hiki kiungo muhimu...
2 Reactions
36 Replies
11K Views
Habari wanajamvi? Kwanza awali ya yoote bibie Faiza, Asalaam aleikhum! Kisha baada ya salam adhimu kwa ajili yako nimekaa nkajaribu kujiuliza.. Hivi kwa post na comment zako kwa thread za watu...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Yaani hizi tabia za kiswahili huwa zinastaajabisha sana km si kushangaza na kukereketa. saa saba mchana mtu anakuja Kukusalimia kwako mara anaanzisha stor kibao ili mda wa Msosi ufike cha ajabu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za Asubuhi wadau, najua wengi mmeona au kusikiliza vyombo mbalimbali vya habari. Hebu tupia jina gani la mtangazaji ukilisikia basi unakuwa mwemereee! Kwa mfano mimi Yule jamaa, Sekioni...
0 Reactions
81 Replies
20K Views
Salamu zikufikie popote pale Ulipo Je hujambo? Mimi ni mzima wa Afya njema Lengo/dhumuni la andiko hili ni kutaka kujua mahali ulipo na Kukusalimia.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Muda Si Mrefu Nilikuwa Natoka Kumtafuta ( Kwiyo Kwiyo ) Wangu a.k.a Kuku Vichakani Baada Kuniponyoka Na Kukimbia Na Wakati Namtafuta Porini Nimekutana Na Watoto Wadogo Kabisa WAKINGONOKA Huko...
0 Reactions
8 Replies
914 Views
Habari zenu wakuu, Leo jioni nategemea kuwa na ugeni mzito kwangu,nimepanga niwatoe dinner kwenye moja ya hotel nzuri hapa Dar. Binafsi nimefkiria Double tree by Hilton au Sea cliff, sina uzoefu...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Wakuu, Jana nilipambana na nyati ana kwa ana pale Mikumi, nilikua Mikumi nabadili tairi la gari ghafla akanizukia ndipo pakatimka vumbi, nyati ni kifo usiombe uingie kwenye 18 zake, cha ajabu...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
I mean living your life at the fullest or struggling to pay bills only?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo wanasema ni siku ya wajinga... Nani amenaswa leo? Share na sisi kama wajanja wamekupata leo....
0 Reactions
3 Replies
877 Views
Sijui ni nani aliyeanzisha hii siku ya kipumbavu ya wapumbavu?,Kila kitu unaweza kuona ni upumbavu tu,uongo tu.Hata ukiletewa taarifa za mkeo anakucheat jua ni uongo tu,ni upumbavu tu.Ni siku ya...
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Wakuu, Mlishawahi kujiuliza kuwa ni bora ukutane na mtiti wa nyati au huyu mdudu nyoka aina ya koboko? We ungependa ukutane na yupi hapa?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
MCC-CCM=?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Bwana mi nimetoka zangu huko Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na msichana mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya...
7 Reactions
73 Replies
10K Views
Habarini.. Jaman nchi hii inabidi hospitali za wagonjwa maalumu ziongezwe. Maana tunakoelekea sasa hapana kwa kweli. Wakulima WANA-LAANI ardhi kuchukuliwa na wawekezaji. Jana wamewa-LAANI...
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Back
Top Bottom