JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;- MUME: Natamani sana iwe hivyo. MKE: Vipi, wataka niondoke? MUME: Hapana hata kidogo. MKE: unanipenda? MUME: Ndo maanake. MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu jana nimepambana na nyati live kilikua ni kifo lakini nilifanikiwa kushinda mpaka nyati akatoka nduki, jana tulipata pancha Mikumi mida ya saa 9 mchana nilipokua nabadili tairi ya gari...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Jamani kuna bidada jana kafanyiwa mchezo na mchumbake. Mchumba kampigia simu bidada huyu kwa namba mpya huku akibadili sauti na jina. Akajifanya mshefa mpya kabisa wamepeana namba hivi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
sema ww n mkazi wa pande zip na sasa uko wapi
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wandugu Siku hizi naona kila baada ya nyumba kumi kusa kanisa, ama kila mtaa unakuta makasina hayapungui matatu.. sasa kuna hilo jipya liko mtaani kwangu yani vinguo vinavovaliwa ni balaa ivi ni...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Maisha ya uswazi kwenye nyumba ya kupanga nilikuwa poa sana kipindi cha nyuma mfano umeme ukikatika ghafla. Mimi uwanajitolea kununua hili tusilale kiza na hili joto lisitutese hata kama mchango...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu tunashuhudia mara nyingi askari wakipiga risasi angani, lakini hatujawahi kusikia zikirudi chini au kuziokota chini, sasa uwa zinaendaga wapi?
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Naapa kama nikienda tena Gongo la mboto basi nitapanda bodaboda ili kuepuka haya.Nilikuwa naamini mara nyingi wanaume wakwasi ndo wenye tabia hii chafu ya kuwabahishia wanawake kwenye daladala...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Stori inaanzia miaka ya 80 huko, kipindi damu inachemka, nilijuana na dada mmoja mzuri, mwenye upeo na uzuri wa kimaumbile. Baada ya kukutana mara kadhaa nilifall in love naye, na kwa kuwa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
HILI JOTO MH! [emoji27] [emoji27] [emoji27] UNAWEZA UKAJIKUTA UMEFIKA DUKANI UNAMWAMBIA MUUZAJI NIPATIE VOCHA BARIDI [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
5 Reactions
6 Replies
2K Views
3 Reactions
2 Replies
1K Views
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwenye tangazo la kampuni moja ya Simu, mdada anamlalamikia EX wake kwanini amefungua whatsapp group akali-name 'Ma-EX wangu' Hili ni tangazo tu lakini just imagine posts za humo kwenye group...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tena mrembo kweli. Anakunywa safari lager tena za moto. Ila alijistukia baada ya kuona jamaa wanamwangalia sana. Baada ya kunywa kama bia 2 hivi akabadilisha na kuagiza serengeti. Nimeshangaa...
2 Reactions
55 Replies
14K Views
Ever wondered how hard we work to fill our life with luxuries that we hardly have time to enjoy. LOOK AT IT THIS WAY... The luxury Cars, Toyotas, Land Cruisers, Rav 4's;Mercedeses that are...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Huu uzi nauandika nikiwa high, so nashkuru kwa makosa yoyote ya kiuandishi nitakayopatia. Juzi nilielezea mkasa wangu hapa wa baba mkwe kunifanyia mambo ya ajabu... Wengi walidhani...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Chintu failed in the final Law Exam & decided to make a deal with the Professor. Chintu: Sir, Can I ask you one question? Professor: Yes. Chintu: If you can answer this question, I will accept...
7 Reactions
11 Replies
3K Views
Lile gwiji la kusimamia chaguzi barani afrika mr Jecha S jecha limekuwa tipped kupata tuzo ya nobel baada ya kuwakosha wapenda amani duniani kwa kusimamia vyema uchaguzi wa zanzibar ulioweka...
7 Reactions
37 Replies
8K Views
ndan ya ndoa hii kulikuwa na kutokuelewana mwanamke akawa ananong'ona hv: *** mwanamke: yaan bora kuolewa na shetan kuliko huyu bwana mume: DINNI zimeshakataza mtu kuolewa na ndugu yake ______
2 Reactions
7 Replies
3K Views
..You're known far and wide, you're always our guide; We'll never forget you..! karbuni wana azania tukumbushie enzi hizo.
1 Reactions
4 Replies
737 Views
Back
Top Bottom