JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna wakati wadada naona hawako seriously.... Unakuta mtu anaomba Mungu daily mpaka kwenye status anaandika "GOD BLESS MY RELATIONSHIP "Wakati huo ana date na wanaume 11......sasa si bora aseme...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilikuwa naangalia conversion rate ya post kwa wachangiaji wakubwa ishirini wa JF. Ni sawa na kumtafuta striker bora mwenye shot conversion rate kubwa. Nimeshangazwa kuona post za mshana jr...
13 Reactions
277 Replies
15K Views
Baba Caro alikutana kwenye hotel moja na jamaa aliekuwa anamdai kwa mda mrefu sana. Walivyokutana wakawa wamekaa meza moja Baba Caroo akuuliza jamaa deni lake jamaa akaapa hadi na Mungu hana pesa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu muda nipo maeneo ya mikumi naenda dar, ila nilipofika katikati ya mbuga nilikutana na kiumbe cha ajabu yaani ni twiga mwenye kichwa cha binadamu, ana jicho moja, ana miguu ya simba na alikua...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
Mchungaji alisema: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yu mwema. Waumini wote wakageukiana na kusema Mungu yu mwema. Mchungaji: Leo nitawaombea wale wote wasio zaa. Mgeukie mwenzio na...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
"...binafsi ninaomba radhi sana! Kwani sina pakushika wala pa kuanzia kimaisha... Natoka familia duni yenye UMASIKINI usio elezeka.. Hata hela ya kupika pilau mimi sina jamani leo sikukuu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa.... mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli. Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida...
11 Reactions
16 Replies
2K Views
1.Nyani haoni - valise miwani 2.Debe tupu - weka dengu 3.Maskini akipata - itaacha iba jumbani 4.Penye kuku wengi -Chinja bili au tatu 5.Asiyesikia la mkuu -Peleka yeye polisi 6.Penye wengi -...
6 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu, Jana maeneo ya Posta niliokota cheni ya almasi gramu 5. cha ajabu cheni hii ufanya mambo ya ajabu ajabu kuna wakati ugeuka na kuwa, mnyororo, ugeuka na kuwa kamba, ugeuka na kuwa gari au...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Mhindi aliambiwa amalizie methali za Kiswahili 1.Nyani haoni - valise miwani 2.Debe tupu - weka dengu 3.Maskini akipata - itaacha iba jumbani 4.Penye kuku wengi -Chinja bili au tatu 5.Asiyesikia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kila nikizima taa na kuingia bed! Kuna mbwa wa jiran anakuja kweny dirisha langu na kubweka kwa kuunguruma!! Nikitoka nje sion kitu na pazia nimepandisha upand! Wakongwe nin maana ya Hii Mambo?
1 Reactions
52 Replies
7K Views
eeh mungu wape maisha mrefu wadada wanaowadharau wanaume wafupi,wanene,wabaya & wasio na pesa, waendelee kuchezewa na mahandsome na mabraza men hadi uzeeni...Aimee
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Masaa machache yaliopita Wasanii nguli wa kenya maarufu kwa jina la Sautsol Wametoa Filamu yao mpya waliomshirikisha msanii nguli wa Tanzania Alikiba #kingkiba . . . Filamu hiyo iliyoachiwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Dingi alimuuliza mwanawe; 'hivi we mtoto, ninapokupiga hasira zako unazimalizia wapi?' Dogo akajibu: 'chooni' Dingi akauliza tena: 'sasa chooni unamalizia vipi hasira zako?' Dogo akajibu: kwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Jamaa flani watatu walienda kupanga chumba hotelini. Wakapewa chumba ghorofa ya 90. Siku moja wakati wanarudi hotelin kulala, wakakuta umeme umekatika, wakashindwa kutumia lifti wakaamua kupanda...
8 Reactions
34 Replies
11K Views
Umeanza kazi mwezi wa kwanza Mshahara wako 300,000 Unamiliki handbag 120,000 Viatu 140,000 IPhone 5 Toyota nadia Umepanga nyumba nzima kwa mwezi 300,000 ALAFU UNAENDA KANISANI KUMUOMBA...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Sabakher Wadau; Kuna Dogo Hapa Kitaa Kaja Kuniomba Ushauri! Kwa Maana Mimi Ni Mmoja Kati Ya Vijana Kumi Tunaoheshimika Hapa Kitaa. Ipo Hv; dogo alimpata Mwanamke Facebook! Wakatongozana...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama ulikwepo, Leo Ijumaa, tunaweka shida chini tunatupa mikono juu, baada ya migo migo za kumalizia dissertation, basi leo nataka nitoke na mabesthe zangu, mpaka usiku mbaya, tukalewe, hii bash...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
hw to overcome it? help pls
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Misichana yenye sura mbaya mara nyingi inapendelea kuweka dp za picha zenye maneno ya falsafa za kijinga au picha za marafki zao na kuandika status tata..kuna limdada sura mbaya linaitwa Mwantum...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom