JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi binafsi nimekuwa naona wasichana ninaokuwa nao kimapenzi ni wajinga mbali na hapo hata wanaonizunguka yaani akili zao sijui zinakuwaje yaani nafurahi ninavyowafanyia kuwadanganya alafu...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
jamaa mmoja aliota kuwa yeye ni kuku,tena kuku jike,akajisikia kama anataka kutaga vile,basi akatafuta sehemu iliyotulia akataga,baada ya muda akashituka hamadi,,,,,,kumbe kashusha 'kubwa'...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nikiwa highschool. Watchman: Amkeni muende morning preps Me: Mimi ni mgonjwa Watchman: Unaumwa na nini hio? Me: Binomial Nomenclature Watchman: Eh, lala tu kijana. Hio kitu ni mbaya.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
You're my sweetie, my sugar, my baby, my lover...so honey let me hold ya, let me love ya, forever. Wo-eh. Hayo ni maneno yaliyomo kwenye wimbo maarufu uitwao "You're my sweet, my sugar" au "Let...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hata uwe naniii, asikudanganye mtu, kila kiumbe kina mbabe wake hapa duniani. SHARE na marafiki
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Maajabu ya wahaya ### Tajiri huyu wa Kihaya aamua kuwatengenezea ng'ombe wake vyumba na vitanda, cheki kufuru aliyofanya hapa;
1 Reactions
6 Replies
5K Views
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapa Tanzania. 01. Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school. 02. Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mlevi mmoja alienda kwenye duka la dawa kununua condom mambo yakawa hivi... Mlevi:nesi nipatie kondom za mia tano.. Nesi:hee we kaka hata huoni haya si utumie tafsida.. Mlevi akaona isiwe tabu si...
7 Reactions
12 Replies
6K Views
Mwalim anawaita wanafunzi waandike magonjwa wanayoyafaham ubaoni wakwanza kaandika: HIV Wapili akaandika : TB Watatu akandika : Polio Wanne akaandika: / Mwalimu kaamuuliza ndo ugonjwa gani...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Leo hii ikiwa ni birthday ya mwanangu anaeonekana kwenye picha naomba nitumie fursa hii kumuombea afya njema kiakili, kimwili na kiroho, mungu amtangulie katika safari ndefu aliyo nayo katika...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
chizi wawili walipanda train wakienda mombasa chizi 1:'unaona miti vile inakimbia ' chizi 2:'eee itabidi tupande miti tukirudi'.
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya sasa
1 Reactions
5 Replies
883 Views
Huwa mnasema vibubu ushamba poaaa!!! Leo ndo nimefungua vipi niwagawieeee?????
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamaa mmoja kakodi tax akiwa anatembea katika jiji mara akapita gest moja akamuona mkewe akiingia ndani ya gesti, jamaa akamwambia dereva simama, jee? unataka laki tatu za chap chap? dereva...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii nimeikuta sehemu... UTANI USHAANZA KWA WALIMU Konda : cheke cheke! abilia nauli Abiria: mi mwalimu Konda: onyesha kitambulisho Mwalimu: (anashika mfukoni) hiki hapa Konda (anakichukua...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Nachoweza kusema ni kwamba leo nimepatikana kwani sikuhamini nilipoamka asubuhi huku miguu yangu ikiwa na matope mazito kana kwamba nilikua nalima usiku kucha, sijajua kama wachawi walinilimisha...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Mwelevu na Mjinga walienda ktk usaili, walipofika kabla hawajaingia wakakubaliana aanze Mwerevu kisha akitoka ampe majibu Mjinga ili wote wapate kazi. Basi Mwelevu akaingia na maswali yakawa...
3 Reactions
10 Replies
5K Views
Wadada ambao hawajaingia kwenye ndoa hii inawahusu[emoji23] [emoji23]
4 Reactions
87 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…