Wasee wa base, niaje Niaje? Kabla niendelee salimia sana madha.
Leo nilikaa juu ni Sato, hakuna job na by the mimi ni SDA church member, after church nikiona si kitu mbaya kupitia VCT juu kuna...
Head wraps/head gears/turbans ni muhimu kwa kila msichana! Sababu kila girl kuna wakati wana bad hair days,but kuna siku ur outfit just need it ili kuwa perfect.
Hawa wawili unapendelea nani...
Hello Wapendwa,
Ni siku ya furaha, ni siku ya kukumbuka kwa mpendwa wetu, rafiki yetu na kipenzi chetu, mtu wa muhimu kwetu, Dotto Mnzava kwa kuzaliwa kwake. Nasi kwa pamoja tumtakie afya na...
Wakuu napenda kuwajulisheni kuwa natarajia kufunga safari kwa kutumia parachuti kwenda angani kutembelea MWEZI NA JUA. Nitapiga picha na selfie kibao na JUA NA MWEZI.
Hii imemtokea jamaa yangu wa karibu sana,ilikua jana usiku jamaa alimpigia simu rafiki yetu mwengine sasa kawaida kama mnavyojua watu mkizoeana kutukanana ni jambo la kawaida kama utani, katika...
Mwalimu mgeni aliingia darasani kwa mara ya kwanza na kuchora moyo ubaoni. Kwa vile hakuwa mchoraji mzuri ule moyo ukaonekana ovyo tu.
Kwa kujiamini akauliza wanafunzi nimechora nini...
Nimekaa tu hapa navuta bhangi kiasi, alafu
nikaona
daktari kwa TV. Alafu nikakumbuka, nilikua na
dreams. Oooh, mara nataka kuwa daktari,
engineer,
pilot ama cashier wa bank (na hawa watu wa
bank...
Kuna huyu dada, ameninoki design nashikwa na ugonjwa. Tulijuana Facebook na hata tukatubu dhambi mpaka usiku, tukaonana kiukweli ni msupuuu, noma ni pale yeye aniita mimi ni kaka yake wakati mimi...
Ni masaa Sita, sahivo nlikua tayari nlishamset madha wa chapo yake chini ya maji, juu si mbali na Ile kazi kwa mjengo. Ni third day tuko juu ya roof kazi si mchezo. Sasa kuko na huyu mzae, ukichek...
Hivi sijaelewa, kila member wa JF ninae muona humu ndani anatumia jina ambalo si halisi, sasa sijui ni ni terms and conditions za JF kuchit? Nawasilisha hoja...
Wasee kwanza niaje Niaje? Hope huko mliko bado mnakazana. Kabla niendelee salimia sana mabesthe zenu huko kenye mko.
Niko na shida na huyu mgeni. Ni week Sasa tangu huyu besthe yangu wa high...
Wiki iliyopita nikiwa nimekaa kitandani kwangu ghafla kuna wazo la kijinga lilinijia out of nowhere. Naliita la kijinga kwa sababu ukifikiria mm ni colleague wa chuo fulani hapa jijini kwa hiyo...
Wadau,
Mwenzenu nimeona sio dili kwenda Night Clubs za jiji hili peke yangu maana inakuwa ni changamoto hata kwenye uopoaji vimwana, pia bila kampani hata bia hazinogi. So kama upo interested...
Salaam kubwa wana MMU baada ya kufanya mazoezi ya kuandika thread hatimaye nimeandika...
-hivi ilitokeaje mpaka wote tukawa tunatumia majina bandia
hili jambo limekuwa likinitatiza hebu nisaidieni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.