JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi Inafaa Kukaa Mda Gani Kwa Jirani Baada ya kula Ndio Uondoke Ili usionekane Ulifuata Msosi!???
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Kuna mahadhimisho ya smartphone jumamosi ijayo Techno-Mtakutana viwanja vya Jangwani Huawei - Viwanja vya Mnazi mmoja Nokia-Viwanja vya Biafraa Samsung - Ukumbi wa Lamada hotel Blackberry...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alifiwa na mkewe akawa na huzuni.. Mara akashika chupi ya mkewe na kuanza kulia sanaaa...! Akaulizwa; "kulikoni, mbona kilio kimeongezeka ghafla?" akajibu huku akiionesha ile chupi...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Muttashobya karudi toka masomoni huko ng'ambo
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wadau katika pitapita zako huku na huko si unajua mazingira ya mashambani tena mara ukashikwa na tumbo la kuharisha gafla ukatafuta sehem ya kujisitir japo kichakan hakuna kwa sababu ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni Nadra Sana Hasa Katika Ofisi Zetu Hizi Kumwona Bosi Mkuu Akienda Kujisaidia HAJA KUBWA au Kutumia Choo Cha Ofisini Na Ambacho Ni Cha Public Kujisaidia HAJA KUBWA Na Badala Yake Bosi Huyo Yuko...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nimeifuta
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Ungepewa muda uongezewe kiungo mwilini ungetaka uongezewe kiungo gani? kwanini? Me ningetaka niongezewe kichwa kwa sababu napenda kuwaza. Asanteni.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Miongoni mwa mambo yanayonifurahisha sana hapa Jf ni vidubwasa hivio_O:rolleyes::rolleyes::eek::D:p:cool::confused::mad::(;):)..... kipindi cha nyuma vilikuwa vingi sana sasa sijui wamevipeleka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
mwalimu wa kike especially wa primary kuolewa na mwanafunzi wake?
0 Reactions
6 Replies
983 Views
Udaku News WAKATI wanawake duniani kote leo wakiadhimisha siku ya wanawake duniani, wake wa mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusufu, Leila Rashid na Chiku wamekatazwa kutumia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
MASSAWE....YELE WIIIIIIII Massawe alikuwa kanisani, kapu la sadaka likaanza kupitishwa, lilipofika kwake akatoa noti ya shilingi mia tano akaikunja kisirisiri akaitumbukiza kwenye kapu. Mara ile...
8 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana jamvi embu leteni maoni yenu juu ya huku ugumu wa maths nani amechangia kwa kiasi kikubwa..mm hasa naona ni ALGEBRA yeye ndie ameleta uhasama kwenye maths baada ya kuchanganya herufi na namba..
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Kwa wale wenye uzowefu wa kutongoza wazungu na wanawake wa hapa nchi mnatueleza nini katika mada hii?
0 Reactions
34 Replies
4K Views
GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje? BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe kionjo kidogo tu GIRL: Enhee... BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi zima la...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimetoka kambini, niko hapa... Ktk siku hii ya wanawake nipo hapa mkasa pub.. Napenda kuwapongeza wanawake wote hasa wale wenye makalio makubwa.. Kama upo karibu, karibia tuburudike kwa kinywaji...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi kama Mwafrika siyo tu nimelisikia hili ktk kwa watu wasio Waafrika bali nimelishuhudia na ninaelendelea kulishuhidia kila siku kwamba Watu wengi hapa Afrika hatuna akili maana yake ni kwamba...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Swali: Hivi nini kimemuua marehemu? MFIWA: kifo
0 Reactions
40 Replies
23K Views
Nimekubali jf kiboko acha niifagilie yaani kila kitu ukiweka unahitaji msaada au elimu ukirusha tu unapata mawazo ya wadau tofauti hadi tatizo lako linapata ufumbuzi.hiyo ndo jamii forum bana big...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom