Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..
yani unampenda mtoto hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu
Akikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo...
Here’s a short list of things that helps me avoid drama these days:
1. Steer clear of people who post too much personal information on social media.
It’s a sign of narcissism or deep insecurity...
Waswahili bhana kweli kiingereza hatujui ona tafsiri ya tungo zifuatazo kiswahili-kiingereza.
Kuchungulia- To potcry!
Angalia sana-look very!
Kama una nyingine kama hii share hapa
Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapa Tanzania.
01.Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school.
02.Wale waliokuwa wa pili,wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa...
Wakiwa bustanini wamepumzika;
Eva: Adamu naomba unieleze ukweli kama kweli unanipenda kwa dhati mpenzi wangu?
Adamu: Mi sikupendi, kwani niliwahi kukwambia nakupenda?
Eva : Sa kama hunipendi mbona...
umejikusanya na umejichanga weeeeee ukapata 800,000/=
umeenda shule, umelipia ada yote ya mwaka tsh 800,000/= kwa ajili ya mwanao, ila ile umetoka tu ofisini roho inakwambia angalia michoro...
Sasa Angalia Fala Anaagiza Raundi Ingine
Lakini Angalia Gharama Ee Rafiki
Imenikumbusha enzi zipo kwenye chupa fupi sio mwanamke nyonga. Na vile vijumba viwili vya nyasi kwenye chupa tunaambiana...
Mtu anaweza vaa chupi hata ya 2000 ila kumvua sasa hiyo gharama yake
Kuna chips
kuna kuku
kuna castle light kama sio savana
kuna bajajkuna hotel
ukipiga gharama zake unanunua pikipiki mpyaa
MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI
1. Dennis-mapenzi ya tamthiliya
2. Nicolas-muongo
3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja
4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda mrefu
5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.