Nina miaka takribani 8 hapa JamiiForums nimejifunza mengi na nashukuru sana kuwa member hapa.
Nimekutana na baadhi ya watu na wengine tumefanya nao biashara bila usumbufu wowote. Kuna mwanamke...
Mabwawa yote ya kuogelea Tz yamejaa, maji kwenye ma bar na vibandani kwa mangi yananunuliwa kwa kasi ya ajabu.
Hii ni baada ya Ray Kigosi kusema weupe wake si wa mkorogo, bali unatokana na kunywa...
Wakazi wa arusha hivi mnamkumbuka mwanamazingaumbwe aliekua anaitwa kababaye miaka ya nyuma?
Nakumbuka miaka ya nyuma alivuma sana mashuleni kiingilio ilikuaga mia mbili.
Akitaka kufanya mauza...
KUNA BWANA 1 MKAZI WA UNGUJA, ILA yupo London akawaagiza nduguze wamuolee MKE, wakamuolea.
Jamaa akaja Unguja Ili kukutana na MKEWE. Alipofika air port zanzbar kabla hajafika nyumbani...
Binafsi naona hii haijakaa sawa. Hasa pale mzazi mwenye uchungu wa leba unapofurahishwa na mwanao au mwana wa mwenzako kufanya kitendo kama hiki.
Sidharau wanenguaji mauno ila kwa watoto this is...
JAMANII UPUUZI WA HAWA WAIGIZAJI WA bongo movie umezdi...jaman hebu niambieni, nani kawaloga hawa jamaa? yaani ubunifu hakuna kabisa..
KWA kujikumbusha tu..hebu tiririka tujue ni nini kilikufanya...
>>KAZI YA MOYO NI KUSUKUMA DAMU KUPENDA NI KIHEREHERE CHAKO
>>MAPENZI PESA MAUWA PELEKEA NYUKI
>>UKIONA SKETI ZA WANAFUNZI ZINAKUCHANGANYA MSHONEE MKEO
TUPIA WAKWAKO...
mwisho wa mwezi mwisho wa mwwzi una raha mama eeh
mwisho wa mwezi ukifika una raha ya pekee
utaona watu wengi wana nyuso za furaha eeh
kwavile wana pesa pesa eeh
ukifika mjini iiih! ama kweli...
1. Kama umetembelewa na demu ile ameingia chumbani kwako tu mmekaa muda mara anakwambia funga mapazia na mlango alafu akawasha sabufa kwa sauti ya juu na wewe ukakaa kama zezeta unashangaa ka uko...
Omary alipomaliza interview radio ya Tanga FM, akaambiwa asalimie watu wake Kabla ajaondoka..... "I WANT TO SAY HIE TO MY FATHER AND MOTHER ALSO TO MY MUM AND DAD NOT FORGETING MY PARENTS
Natumai hamjambo wadau wote wa jukwaa hili. Leo tena nakukaribisha ujionee rnb tatu kali zitakazo ifanya uanze wkend yako vizuri.
Track ya kwanza ni ya New Edition iitwayo ONE MORE DAY
Track ya...
Ahh jamani mimi napenda paka saaana maana wana macho ya innocent na vitendo vyao vinapendeza mno!!! Angalia gif hizo za paka mdogo wanaocheza na mbwa kubwa.
-Wache nipitie!
-Ahh, aa, jamani...