JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wasichana wengi wa Dar wanatumia majina feki na hasa wakiwa Mlimani City au beach hata Wanyakyusa wanaoitwa kina Atupakisye hutumia majina yafuatayo: 1. Lisa 2. Doreen 3. Princilla 4. Candy 5...
2 Reactions
74 Replies
10K Views
Hivi ni lini watu wataanza kutoa ushauri wa kifedha na kuacha kutoa ushauri wa maneno matupu?? Una kuta mtu anatatizo la kifedha bado wewe unampa ushauri wa maneno, halafu bado unakua...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Lagos is a land of opportunities. A lot of people come to the city with nothing but eventually rise to the top. The road to success is a different one for different people but in Lagos there are...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa Wale Mnaopenda kupima HIV. kila baada ya Miezi 3 Msikate Tamaah Ipo siku mtafanikiwa kupata mnachokitafuta.. Weekend Njema [emoji12] [emoji13] [emoji14]
0 Reactions
6 Replies
786 Views
Jamanii wana jf hususan wa MMU,naomba niwatakie ucku mwema woootee mlale unono, kwa wale watakao lala muda si mrefu kama mimi[emoji7] na wale wa bata wkend hii pia mu-enjoy salama... Nawapenda...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni Tanzania pekee mechi za simba na yanga zinaonyeshwa live lakini bunge linakua "recorded"
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Yap! kama umewahi kusafiri route ndefu kidogo ndani ya nchi yetu kuna vile vituo vya dakika 10. dar to mtwara & lindi- ni pale nangurukuru. dar to dodoma, singida, tabora and lake zone- ni...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
  • Closed
Habari wadau, Kuna Huu wimbo mpya wa Nikki wa Pili Baba Salehe nimeusikiliza mashahiri yake naona Kama ni Dongo kwa mzee wa mabebe Le big show kutokana na baadhi ya mistari kumlenga moja kwa...
1 Reactions
183 Replies
29K Views
Ngoja basi niwakumbushe kitu... kipindi kile cha miaka ya late 90's na early 2000's basi ilikuwa ukimtongoza mdada unakuta anaanza kujilambalamba vidole huku akiwa anacheesha kidole gumba cha...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
:oops::oops::oops:;):(Habarini wakuu wangu Hakuna kitu kizuri kama kukumbuka siku ya kuzaliwa au kujiona fahari upo hapa duniani ni kitu chema cha kukumbuka na kufurahia nasi kwa pamoja...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukikutana naye lazima utimue mbio. https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=664934210316106&id=634292483380279
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bomoa Bomoa watakulini?
0 Reactions
1 Replies
722 Views
Sweden Ni nchi ambayo inasifiwa sana Kama nchi gharama za maisha ziko chini sana ukilinganisha na nchi zingine zilizoendelea. Wadau mnaoishi huko hata kujua ukweli kuhusu hili suala.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwamba WALE WOTE WALIOZALIWA ( 1900 - 1965 ) Ni Watu WENYE BUSARA, UTU, HEKIMA, ROHO NZURI Ila HAWAZINGATII TU UZAZI WA MPANGO. Kwamba WALE WOTE WALIOZALIWA ( 1966 - 1969 ) Ni Watu WABISHI...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ooh pumpkin, I'm hot just like an oven, I need some loving And sweet pie, I can't hold it much longer, It's getting stronger and stronger And when I get that feeling...I want sexual healing...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
Kama unaisoma thread hii christine naomba uniPM naupenda sana msimamo wako unaonekana unafaa sana. Tafadhar christine ni pm moyo wangu uridhike
1 Reactions
179 Replies
11K Views
Hi there!...msaada mwenyekujua magodoro yapi mazuri yenye kudumu na pia magodoro ya spring brand ip & Tsh ngap?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi karibuni nipata kumsindikiza jamaa yangu hapa mjini huko kwao, kweli wachaga wengi wameendelea. Nikiwa huko nlipata kuona barabara inayosemekana kuwa inatengenezwa kwa kiwango cha lami hadi...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
mimi napanga kuwa na kama pair tatu ya hizi kitu.
0 Reactions
101 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…