Salaam...
Wakuu Hii inaweza Kuwa ni bishara njema kwa wa tz, usiku wa Jana kudamkia Leo nimeota. Serikali ya Tanzania imerusha rocket katika orbit kwa kusaidiwa na vijana wawili kutoka...
Katika utafiti usio rasmi nimegundua hivi vitu viwili pesa na wanawake au simply mwanamke vina majina mengi sana. Lakini bado sijagundua kipi kina zidi kingine kwa idadi ya majina hayo. Na...
John Massawe alikuwa kanisani, kapu la sadaka likaanza kupitishwa, lilipofika kwake akatoa noti ya shilingi mia tano akaikunja kisirisiri akaitumbukiza kwenye kapu.
Mara ile ile akaguswa begani...
HUYU JAMAA NI FORMER ISRAEL AMBASSADOR IN KENYA.
KWETU AFRICA ANGEITWA MUHUNI.
KILL YOURSELF USIPOIPENDA.
RAI: JAMANI KWA WALE WENYE VIPAJI MSIVIFUKIE; MAKE THE MOST OF IT.
kui , Kaboom , Paulo...
Habari zenu wapendwa wangu
Leo nimekuja na SOMO JIPYA sana mwaweza kunishangaa mkadhani ladyf kadata la hasha sijawa hivyo bali
wakati mwingine lazima uwape somo wenzao sio kila wakati wewe...
Amekuomba urafiki W-T-F
Mkachati
Umeangalia picha zake
Anaendesha GARI
Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo
Umemkubalia urafiki
Amekutumia text inbox
Umemjibu
Amekuomba out
Mkapanga kuonana...
Binti mmoja alikaa nje ya nyumba yao akilia kwa uchungu huku akiwa ameshikilia mguu wake wa kulia.Binti huyo alikumbana kichapo kikali kutoka kwa baba yake baada ya kupata 8/10 kwenye mtihani...
Wakuu naomba msaada wenu.
Mara nyingi roho inaniuma sana ninapoona mchepuko unafika juu ya mlima Kilimanjaro tena kwa mbwembwe na madaha sana. Kuna wengine hufika huko zaidi ya mara moja...
Ni kwel unatamanisha ukivaa chupi na kuiita kimini, ni kweli wanaume watageuka sana njiani upitapo, NI kweli ukivaa chandarua unaonekana ROMANTIC kweli kweli, najua una lengo lako ila ujue kuwa...
Nimepita mitaa ya uswahilini Mwananyamala kwenye kichochoro kimoja nimewakuta wazee wawili wamekumbatiana kwa mahaba mazito wakilana denda. Nikapita kama siwaoni mara nikasikia, "Mjukuu wangu hii...
Salaam wadau....
Hiyo slogan naipenda saana na nimeiona katika channel moja ya tv, channel hiyo inaenda kwa jina la ED.
Back to the context and my intention writting za post ni kwamba nimekuwa...
Habari ya siku wana Jf,namshukuru Allah atupae uzima wa afya tele,baada ya kimya kirefu sasa mjengoni nimerudi.
Salamu zangu za dhat kabisa kwa notable member wote.
Chekechea ni shule ya vidudu ya watoto wadogo sana wengine kuanzia mwaka mmoja ambao wanahitaji huduma na mapenzi ya karibu sawa na mama zao. Lakini utakuta shule zingine za aina hii wanaajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.