JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
BANK bwana sie tunaweka mamilioni yetu tuna waamini ila wao peni yao ya sh. 100 wanaifunga kamba ina maanisha hawatuamini????? tutaiba au???
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Proffesor Jimena is giving a seminar on the supernatural To get the feel for her audience she ask,how many people here believe in ghost? About 90 students raise their hands Well out of those of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Kuna dada mmoja mkarimu na anaonekana mtaratibu mno namtafuta mazingira haya kuruhusu kupata contacts zake. Tulikutana leo kanisani jumatano ya majivu....usharika flan lutheran...
1 Reactions
98 Replies
8K Views
Nikiwa natoka shamba huku nimebeba mihogo kichwani na uchovu na njaa, niliamua kufumba macho ili nisione ninakokwenda na nistukie nimefika au kukaribia kitu fulani kikaniambaia nifumbue macho...
5 Reactions
339 Replies
30K Views
Kutokana na kwamba Jumapili hii ni SIKU YA WAPENDANAO basi binafsi nimeona si vibaya nikionyesha MAHABA yangu ya ki Valentino kwa members hawa wa JF kwani hakika wamekuwa WAKINIKOSHA hasa kwa...
5 Reactions
61 Replies
4K Views
habari za jion wana familia wa jf? hua najiuliza humu ndani kwanini profile zilizo nyingi member hawaweki picha zao na majina harisi, najiuliza majina kama kipanya, chongo,vuvuzela mnubi, n.k...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Do not bother with this house design if you're not rich. More details ID 25703 ID 25703 Luxury living with 5 bedroom mansion with gym, family room and all en suite rooms PLAN DETAILS...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimemkumbuka my ex bwana jamaa alikuwa na mashauzi yule gari kali simu kali ila ndani kwake godoro tu hakuna kitanda wala kochi au sofa kupika ilikuwa sufuria mbili chakavu.
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Ndio bomba zaidi wengi wana elimu ni wasafi wanang'ara wanatumia makeups vipodozi na marashi ya bei mbaya wanajua kusuka sangita za mmasai na Brazilian wanamiliki smart phones (japo nyingi ni...
4 Reactions
68 Replies
14K Views
Nipo nyumbani nimefungulia radio kwa sauti kubwa kuna nyimbo nasikiliza hapa wanaimba, umelala huoo umelala huoo, umelala huoo mtarimbo umelala doroo x2 Sasa mimi sielewi huo mtarimbo uliolala...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilikuwa nimetoka shambani kwenye gari nilikaa na binti mmoja mzuri sana alivaa ushungi nikajiambia kwamba nisipoomba namba hapa ntakuwa najilaumu sana hapo baadaye. nikaomba namba nikapewa. Sasa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamaa mmoja kaenda zake kuvua samaki, kufika ziwani akaandaa ndoana yake na akavua viatu na kuingiza miguu ziwani, ile kugusa maji tu samaki waanza kufa hovyo .. DAH hebu ione imekaaje hapa:
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Maajabu ya dunia! Jamaa anaishi na kutembea na nyoka aina ya kobra kichawani kwake, nae kobra katulia tuli hana wasiwasi. Hebu mcheki hapa:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ha ha ha ha..!! Ndio shida ya kurekodi movi barabarani! Hebu angalia hili sakata chini hapa:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hai
Hai
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Sijui nimfanyie nini jamani. Handsome la nguvu side burns zinavutia maana ni safi saa zote. Akivaa nguo zinamfit vzr sana. Tukitoka kila mtu jicho. Sipendi akasirike jmn nitaumia sana. Lakini...
2 Reactions
91 Replies
12K Views
Watu wengine bwana eti mimi bingwa wa kukesha kwenye mitandao, mimi ni popo halafu ukiitwa popobawa unaanza kulialia.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Unanunua simu ya laki tano ili utumie kuchat na wanawake wa JF ... Wanawake wenyewe ukiwatongoza hawakutaki. Sasa hiyo laki tano bora ungefungua genge tu.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Unamtaka mwanaume mzuri mwenye body, mwenye gari na pesa, ni sawa, lakini wewe umejiona ulivyo dada?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana Jf Ilikua tarehe 25 january nilikua naenda masasi kumsalimia mama yangu mzazi saa 12 na nusu ndani ya maning nice tayari kwa safari ya masasi kwenye siti yangu nilikaa na mtoto mmja...
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Back
Top Bottom