Nimefuatilia kwa muda akaunti za Facebook nimeona kuna katabia cha kuweka picha selfie na wakati mwingine kupiga picha chakula
Najiuliza hivi hivyo ndivyo vitu pekee vyenye umuhimu kwetu.
Wenye...
usiku mmoja sokomoko alikuwa na mkewe na mazungumzo yakawa hivi;
MKE; hivi mme wangu,kati ya mimi na pombe unampenda zaidi nani?
SOKOMOKO; napenda pombe mke wangu.
MKE; yani hivihivi...
ticha kawaambia wanafunzi wataje kazi za wazazi wao
watoto wengi walitaja kazi za wazazi kuwa ni waajiriwa serikalini na wengine wamejiajiri
ilipofika zamu ya john hali ilikua hivi;
john; baba...
KWA WANAUME ;
Ukiona Mpenzi Wako
Anakusumbua sumbua
Kila Siku Kukuomba Pesa
Ya Kununua Rangi Ya Kucha,
KAMNUNULIE KOPO LA
WINO WA # NEC (wino wa uchaguzi)
NOTE;
SIKU NJEMA KWAKO MPENDWA
Leo Ni Siku Ambayo Nina Furaha
Sana Kwani Nimefanya Maamuzi
Mazito Ambayo Wengi Hawawezi
Na Wameshindwa
Kuyafanya,Nimekwenda Kupima
HIV Na Nimerudi Nyumbani Nikiwa
Na Furaha Tele Kwa Sababu...
Wakuu hivi kwa nini magari yana matairi mawili 2, mbele kuliko kuzito sana sana kutokana na kubeba engine ya gari .
Lakini cha ajabu gari hiyo hiyo gari ina matairi manne 4 kwa nyuma ambako ni...
A child asked his father,
"How were people born?" So his father said, "Adam and Eve made babies became adults and made Babies, and so on."
The child then went to his mother and asked her the same...
Wana jamvi,
Nijuzeni haya:
1. Rais Kikwete ana wake wangapi halali kwa sasa?
2. Ni kweli kaoa mtoto wa Zakia Meghji
3. Ni kweli vile vile kuwa kaoa mke "mnyalukolo" mtoto wa mmiliki wa kiwanda...
Wakuu tunafahamu kitu kinaitwa kimondo hiki kimondo uonekana mara chache sana kikitoa mwanga wakati wa usiku na kikimbia angani kuelekea chini na ghafla upotelea angani.
Je hiki kimondo nini...
BAADA YA JAMBAZI KUINGIA BENKI
JAMBAZI : Usitikisike wewe lala chini tuliiiii maana pesa za serikali ila uhai ni wako unaumiliki mwenyewe .....ooooooh we fanya ujinga mimi nifanye upumbavu.
JE...
aikaruwa1983, you do not have permission to access this page. This could be due to one of several reasons:
Your user account may not have sufficient privileges to access the page. Are you trying...
MARA YA KWANZA KUNUNUA
SALAMA
CONDOM
????????????????
Nilienda dukani,nikakutana na
mrembo anayeuza hapo
dukani,nikawa
naona aibu kusema nataka
kununua
condom,akagundua mwenyewe
na...
Mimi Mkenya ila nimeishi huku Dar kwa miezi saba na nakwambia hamna sehemu East Africa yenye raha kama Dar Es Salaam. Nimeshindwa kurudi Nairobi kwa kweli.......Dar kando na the few issues like...
Kutokana na shughuli zangu zangu si mara kwa mara nimekuwa nikiingia jamiiforums hasa MMU ,lakini kila napopata wasaa na kuingia nimekuwa nikikutana na member wapya ambao kwa wakati huo ndio...
Jamani magreat thinkers tuje tena hapa,
Eti wakuu wasomi ni kwanini mvua unyesha kuanzia usawa mawingu meupe kwenda chini ardhini tu na kwa nini hainyeshi kuelekea anga ya blue? Yaani siku zote...
Habari za mchana wanajamvi?
Uzi huu ni wa pili katika hili jukwaa nikitafuta ushauri kuhusu suala hili. Akhsante kwa walionishauri katika uzi wa kwanza...