Habari za mida hii wanajamii wenzangu.....
Kwa unyenyekevu mkubwa kabisa na kwa heshima ya hali ya juu najitokeza mbele yenu kutoa au kuwatakia x mass njema ,yenye furaha na amani....tele......
Yaeh wakuu mambo vipi
Nipo hapa kwaajili ya sherehe ya Harusi ya jamaa yangu itakayofanyika hapa na tarehe tajwa. Shida ni kwamba nina kadi ya double nami niko niko single, So naona nitakuwa...
gossip katika idara ya udaku leo kwa niaba ya wana makoro...
nalikamata gazeti la makolokocho
kichwa cha habari kina sema eti wema sepenga kanasa ujauzito unaosemekana kua ni mbunge na mfanya...
nimekua member wa humu jamvini almost zaid ya mwaka bt cjawahi mfaham memba yoyote kwa kumuona I wish nionane hata name mmoja turn isijekua hua nachart na maroboti, cc illovo, smart911, Evelyn...
Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi...
Amani iwe juu yenu wote na baraka zake mungu.
kama ilivyoada huwa sipendi kujificha kujieleza mbele ya jamii kwani naamini kuwa mimi ni muhimu ktk jamii na ninapaswa kuitendea mema jamii yangu...
Askari wameitwa kwenye nyumba ambayo kuna ugomvi. Wakafika halafu ikabidi waripoti kwa simu yale waliyokuta
Askari: mkuu tumekuja hapa tumekuta mama mwenye nyumba amempiga mumewe chuma cha kichwa...
Dogo mmoja alifanikiwa kuingia chuo kimojawapo nchini kwa mbwembwe sana. Katikati ya semista, dogo akaishiwa hela na akaamua kumwandikia baba yake barua.
"Kwako baba,
Ni matumaini yangu hujambo...
Ana username ya Obama wa Bongo ....ni katika pitapita yangu ndani ya JF nilipokutana na avatar ya kushangaza kidogo ni logo mbili za Honda na Nissan zimetengenezewa animation (motion picture)...
Mh. JPM naomba uelekeze macho kwa wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Africa Mashariki. ...walifanya kazi kwa uadilifu kama ilivyo kauli mbiu yako lakini HAWAJALIPWA haki zao. ..wengi wamekufa. ..ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.