JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja huku...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamaa katoka klabu usiku njiani kakutana na mwanamke mrembo. Jamaa: Mambo mrembo? Mrembo: Poa. Jamaa: Unaelekea wapi? Mrembo: Naelekea nyumbani. Jamaa: Ingia ndani ya gari nikusogeze kidogo...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Nipo kwenye kibajaji natokea Mitaa ya Mwenge naelekea Riverside, Dreva wa bajaji analalamika sana kwamba Dadazetu siku bidhaa yao imeshuka sana bei yaani analalama akidai kuwa imekuwa kitu ya...
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Habarini Wanajamvi. Kuna members wenzetu ambao wamepotea kwa kipindi kirefu hawajaonekana kwenye jamvi. Kupotea huko kunafanya tu-miss hekima zao,ucheshi wao, vituko vyao na hata karaha zao...
4 Reactions
137 Replies
12K Views
Coz nkiangalia wazee watu wazima wanafanya mambo ya kjingaa, wanawaza ujinga, wanatoa mawazo ya kjinga kwa umri wangu siwezi kufanya na sijawahi kufikiri kama ntakuja kufanya ujinga wanaofanya...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
HABARI YA SIKUKU WA JF WOTE, HERI YA MWAKA MPYA.
0 Reactions
0 Replies
735 Views
MWANDISHI: Unaitwa nani? MMAKONDE: Jina langu ukiliandika litaloanisha kitabu. MWANDISHI: We sema tu unaitwa nani? MMAKONDE: Jina langu ukiliandika litaloanisha kitabu labda uandike ndani ya ndoo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada tafadhali. Nimenunua Luku lakini kila nikijaribu kuingiza inaniandikia error 77. Nalala gizani mwenzenu. Haijawahi kuwa na tatizo kama hilo kabla.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamaa m1 anyeitwa KINYA alikuwa akitoa show ... ya muzk akaanza kujisifia kama kina ali kiba ni al k on the stage... akaanza mambo vepee nikinya hapa kwenye stage ni mm hap nikinya nataka kutoa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msamaha wa kweli unahitaji Neema ya Mungu.Sikiliza hii,Kuna jamaa mmoja na Mkewe walikuwa wanasafiri kuelekea Italia kwa safari ya kibiashara kwa ndege.Wakiwa angani likatoka tangazo kwamba injini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni Majina gani ya utani au hata yale ya bibi au babu ambayo hukupenda kabisa kuitwa wakati ukiwa unasoma shule.
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Toleo la 4!! Happy August to all... 1. Kiranga aamua kuokoka! Ashangaa sana injili ilivyo tamu, nyimbo za kusifu na mapambio vyawa burudani tosha kwake.. Apendelea Kanisa la Gwajima, Kawe...
11 Reactions
413 Replies
24K Views
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mmehabarikaje Wandugu,Wasakatonge, Kesho kukipambazuka nitajongea mdogo mdogo na Ndama Wangu {BAJA 250}kwa fundi ili akampime huyu kiumbe atakuwa anatatizo lolote lipatiwe ufumbuz mapema,aije...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu wana jukwaa wenzangu popote pale mlipo......yakiwa yamebaki masaa machache tuukaribishe mwaka mpya...wa 2016.....KILA MMOJA WETU ana shauku ya kuufika na kuuona huu mwaka mpya ulio...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao...
6 Reactions
367 Replies
23K Views
Wakuu nipo Bar moja apa sinza kiukweli ina totozi wa kumwaga sana hili chimbo ni sijawahi tia mguu ni leo ndo naanza Sijui ningoke na mwaarabu au africast , Wife leo nimempa likizo Btw Nipo na...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Hakika kwa jinsi JPM anavyotaka kuupanga mji naona wazi watu wakirudi kijijini. Mfano piga hesabu mtu alijenga bondeni tangu miaka ya 1980. ..hivi leo anaweza kununua kiwanja? Kutokana na kuwa...
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Ninadem hatujawahi duuuu lkn ananizingua sana hataki tu duuu mpaka mwakani sasa yy anapenda kuniomba hela sana bt awamu hii nikagoma kumpatia kaniandikia ujumbe kwamba """ usiponitumia Leo bc...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Nilikuwa naongea na ndugu yangu aliye pugu majohe ameniambia kuwa Greda lilipokuwa linarekebisha barabara za mtaa kuna maeneo wameingia sana kwenye viwanda vya watu..hasa chake Kwa kuwa wadau...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom