JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
MAWASILIANO YA SIMU YALIANZA KUCHANGANYA MIAKA YA 2001+LAKINI KABLA YA HAPO MAWASILIANO HASA YA MAPENZ YALIKUWEPO HASA KWA KUTUMIA VIMEMO/LETTER.POINT YA MSINGI BARUA IPI KATI YA ULIZOTUMIWA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamaa tajiri sana akaugua na akijua atakufa tu kamwambia mke wake amzike na hela zake mkewe kakataa weee,mwishowe kasema sawa. Siku ya kuzika kaweka boksi kubwaaa, jamaa wakamuuliza nini hicho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nachukua nafasi hii kuwatakia members wote wa JF, heri na fanaka katika mwaka huu mpya wa 2016!
0 Reactions
3 Replies
948 Views
Ni Mimi @Nje ya Mada... Nawatakia Heri ya mwaka mpya nyie wanawake ambao baadhi yenu siwajui heri ya mwaka mpya. @Evelyn Salt @Madame B @Madame S @miss chagga @nifah Nina uhakika 2016...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
mke katika kufanya usafi chumbani kwake akakuta sanduku uvunguni.akafungua na kukut mayai matano na sh milion 1.jioni akamuuliza mumewe na ilikua hivi MUME; usijali,huwa nikisex nje ya ndoa naweka...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi...
1 Reactions
3 Replies
899 Views
Jamaa kaingia msikitini kuswali bahati mbaya alisahau kuzima simu wakati ibada ikiendelea simu yake ikaita. Akaingiza mkono mfukoni kwa lengo la kuizima, bahati mbaya akaipokea mara sauti ya kike...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
A mand and his best friend had this conversation “Why have you got those marks on your knees?” her friend asked. “Oh, it’s making love, doggie style.” “Well, why don’t you change positions?” “I’m...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Machizi wawili walikuwa ndani ya treni safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Kigoma, wakati safari ikiendelea chizi wa kwanza akachungulia dirishani akamwambia mwenzake, "Mwanangu unaona miti...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamaa 1: Haloo! Jamaa 2: Nakusikia kaka, niambie... Jamaa 1: Pesa yangu utanilipa lini? Jamaa 2: Haloo unasema?!...haloo sikusikii vizuri! Jamaa 1: Haloo, nakuambia ile pesa ninayokudai usinilipe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
FACT! 1.Ukiona geto lina feni, sabufa, meza ya plastic na kitanda ch sita kwa sita na Pc UJUE ni jamaa wa UDSM. 2. Ukaona geto lina nguo nyingi za watu tofauti tofauti, unga mwingi, vtunguu...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Nakumbuka ile siku ya kwanza ambayo niliianza safari hii mi naiita nzuri japo iliyowatesa wanaiona mbaya.....yaani siku ya kwanza kungonoka.....daa!!!haka kamchezo ni katamu balaa....wakati kile...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HABARI Naitwa moody kabwe Siku- ya ijumaa tarehe 25/12/1988 Mama na Baba BAKARI KABWE walibarikiwa kumpata mtoto wa kiume. Na Wakamwita mtoto huyu MOHAMEDY BAKARI RASHIDI KABWE Na leo ile...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
mwaka 2015 unasema je! utanikumbuka? mwaka 2016 unasema je! utanipend? /je! wewe unasemaje.??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna aina fulani ya mnyama,jamiii hiyo endapo ikapofanya mapenzi huwa wanafurahia sna hilo tendo,yaaana hata uaonapo unaona jinsi gani walivyo na furaha pindi wanapogegedana,je mnyama yupi huyooo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna jamaa alikamatwa na kupelekwa Segerea wakati anaingia wafungwa wa mule ndani wote wakaanza kuimba "Mwalii mwalii mwalii mwalii!." Jamaa kusikia anaitwa mwali akaona hili balaa akijilegeza tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani sio mbaya tukaulizana swali hili na kupata majibu ya pamoja. Hivi kwa nini dada zetu wengi kama sio wote wanapenda kupiga picha kwa kubinua makalio yao? Kwani wakipiga bila kuyabinuwa...
4 Reactions
153 Replies
28K Views
Habari za asubuhi wambea wenzangu africa mashariki na duniani kote, ningependa kuwapata taarifa kuwa mbea mwenzetu mwenye kiwango cha hali ya juu aka pacha ya warumi aitwaye Dinazarde amepata...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom