JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna ndugu yangu anataka kuchukua huo uamuzi
1 Reactions
19 Replies
10K Views
Kuna members wengi humu jf tangu uingie mwaka 2015 sijaona wakichangia wala kutoa Post ya habari yoyote ile, sasa hapo ndipo ninapojiuliza kuwa hawa members bado wapo hai Au tayari wameshatangulia...
4 Reactions
139 Replies
10K Views
Teacher: what is opposite of laughing ? Student: Fucking ! Teacher: how is that ? Student : laughing is ha ha ha !!! Fucking is ah ah ah ah !!!!
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mpita njia mmoja alikuwa anamtafuta jamaa ktk mtaa flani,akamwona Mluguru amekaa nje ya nyumba yake,akaamua kumuuliza,mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo: Mpita njia: umemwona Mangi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kila DEMU ukimtongoza anakuambia YUPO INRELATIONSHIP.. afu kila BOY ukimuuliza anakuambia yupo SINGLE. sasa hao mademu wapo inrelationship na nani?? C elewi....������
0 Reactions
31 Replies
2K Views
why frog can't jump backward?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tehe tehe tehe! Mzee mmoja alitoka kijijini kwenda mjini kumsalimia mwanae wa kiume pamoja na wajukuu zake. Alipofika akapewa msosi wa nguvu akala akashiba, mara akasikia mtoto anaitwa, "Juma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa mmoja karudi nyumbani gafla akasikia sauti za ajabu kutoka chumbani kwake, akavunja mlango na kuingia akamkuta mkewe anatetemeka akauliza "Vipi mke wangu?" Mkewe akajibu "Presha Imepanda."...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Enzi hizo Mtambuzi alikuwa na kazi ya pekee sana kuwaunganisha wana JF Wa Dar-es-Salaam pamoja akiandaa mikusanyiko ya members akianzia na ile ya Kebby's kisha muendelezo Leo Tuko Hapa Pub...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
kama uko na calender ya 1984 ama 2002 tafadhali usinunue ya 2016 zinafanana. Tuokoe pesa! #magufuli
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Ladies and Gentlemen!! Our friends inlove!! Leo tarehe 20 November, shansarie mpenzi wangu wa Rohoni na Mwilini anatimiza miaka kadhaa ya kuishi hapa duniani.. I thank God, for her life...
21 Reactions
229 Replies
23K Views
FAIDA KUU TATU ZA SIGARA 1. Mvuta sigara hazeeki 2. Mvuta sigara haumwi na mbwa 3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi UFAFANUZI 1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu 2...
2 Reactions
6 Replies
6K Views
Jamaa mmoja aliondoka asubuhi nyumbani kwenda kazini, Ilipofika mchana akampigia simu mke wake. Jamaa: Haloo Mke wangu vipi? Mke: Safi. Jamaa: Uko wapi? Mke: Niko nyumbani napika. Jamaa: Kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Heri ya Mwaka mpya 2016. Moja ya vivutio vikubwa kwa wanandoa ama wanamchepuko wanapo kuwa kwenye ligwaride ni kile kinachoitwa :- kupiga denda/ kunyonya denda. Kitendo cha wawili hao...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Nipende kuwa muwazi binafsi nilivutiwa na mada za mshana jr na nifar. 2015
1 Reactions
190 Replies
14K Views
Waziri wa uchafu, shombo na takataka bwana Nzi kijani amejikuta akiharibu hali ya hewa katikati ya watu baada ya kuliona gari la Mh Magufuli, Imesemekana chanzo cha sakata hilo ni kwamba, Nzi...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Kuna Jamaa alikuwa safarini kuelekea vijiji vya mbali, bahati mbaya kiza kilikuwa kimeanza kuingia kabla ya kufika mwisho wa safari yake. Jamaa ikabidi kuomba hifadhi katika nyumba moja. Jamaa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mfano kama hii My WOMAN my eveeeeeery THING... , ni yupi unayemmanisha hapo? Mama, Kimada, au wife. Je, mzazi wako wa kike unamjali kiukweli ukweli kama unavyomjali kimada na wife wako?
0 Reactions
3 Replies
883 Views
sijui niziiteje, ziko mbili sio active, zote za mwaka 2007, kila moja elfu 50,000/= Msiwaambie ma admin, issue iwe kimy kimya.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naweza sema kuna great thinkers wengi sana humu wenye vitu adimu na hoja zenye mashiko, wako wengi kwa kweli walionivutia mwaka huu tunaoumaliza 2015, lakini hawa ni 10 kati ya hao wengi. 10...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom