JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Iko Kinondoni ni ya kisasa tiles,kila kitu poa..Shida moja tuu imepigwa X lakini iyo X inafutika kirahisi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This what is so called sense of humuor....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wauza bidhaa hasa za lishe au dawa mbadala tuambieni uzuri wa bidhaa zenu na sio kututisha kuwa tuna sumu mwilini etc.
0 Reactions
2 Replies
734 Views
Kuna nyumba inauzwa milioni tano ina vyumba vinane vyote master. Imewekwa alama ya X lakini inafutika!
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Ndoa uongo mtupu
0 Reactions
15 Replies
3K Views
wakuu habarini za wakati huu. kuna hili swla la kutumia baadhi ya ID hapa JF kwakweli inabidi tuwe makini kidogo Juzi nilipanda na mama mtu mzima tu kwenye basi kutoka dodoma kwenda morogoro...
0 Reactions
209 Replies
11K Views
NDANI YA KANISA: MCHUNGAJI: Ningekuwa na uwezo ningechukua Guiness zote na kuzimwaga mtoni!" Waamini wakajibu Ameen! MCHUNGAJI: Ningechukua Safari zote na kuzimwaga mtoni! WAAMINI: Ameen...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Juzi kwenye kijiwe kimoja kariakoo ambapo huwa napata kahawa/tangawizi mara mojamoja ili kujua yanayotokea mitaani kulikuwa na mabishano makali kuhusu mapigano yaliyotokea China baina ya makabila...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
- Naomba kutumia GPS zenu wadau muweke maeneo yenye watoto wakali (kwa muonekano wa machoni) hapa Dar ili kuwasaidia wenzangu na mimi wanaosaka wachumba kuweza kufanikisha zoezi kwa urahisi zaidi...
4 Reactions
62 Replies
17K Views
Yaani unapenda sana wanawake warembo je! Hao wasio warembo ni kwa ajiri ya nan? Majibu tafadhari
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo ni birthday ya Malcom Lumumba,..Almanusura nipate ajali leo asubuhi navyoenda kazini daah. Kweli wanawake siyo madereva wazuri. Yani anataka kunisababishia ajali kwenye siku yangu ya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
MKE: Ulilala wapi? Unanidharau sana unanirudia mie alfajiri, leo lazima unambie huko ulikolala MUME: Mke wangu mpenzi jana nilichanganyikiwa, si unamfahaamu rafiki yangu Joshua, basi jana dada'ke...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau tangu kubadilishwa kwa mwonekano wa JF sijawahi kushuhudia mwanzilishi wa JF Maxence Melo akiwa offline iwe asubuhi, mchana, jioni na hata usiku wa manane. Kipindi naandika hii post...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
ALITOKEA MVULANA MMOJA: MVULANA: Daktari, rafiki yangu wa kike ni mjamzito, lakini mara zote nimekua nikitumia kinga. Inawezekanaje hii? DAKTARI: Ngoja nikusimulie hadithi. Kulikua na Muindaji...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
1-Your parents 2-Attendance Facebook 3-Vodacom 4-Tigo 5-Airtel 6-Landlord 7-Bus conductor 8-Dokt.Shein 9-You boss @work 10-Husband 11-Wife 12-Boy friend 13-Girl friend 14-Josse Mourinho 15-Hazard...
0 Reactions
87 Replies
7K Views
Ukikipenda kitu ni ugonjwa mbaya sana hutasikia la mnadi swala wala la muadhini ni full kudata... Huambiliki.... husikii... Hushikiki... Hukamatiki!!! Ni sawa na ulevi wa bangi, ulevi wa Mpira...
9 Reactions
81 Replies
12K Views
Ilikuwa hivi: Jirani na ninapoishi kuna eneo limetengwa na Manispaa kwa ajili ya kuhifadhi takataka kwa muda kabla gari la Manispaa halijaja kubeba taka hizo. Wakazi wengi wa mtaa wetu huona...
5 Reactions
71 Replies
8K Views
Jamaa mmoja aliingia baani akaagiza bia na baadae kumwambia muhudumu kwamba ampe kila mmoja alieko baani hapo bia moja moja maana anapenda anpokunywa na wengine wanywe. Baada ya mhudumu kumaliza...
0 Reactions
4 Replies
987 Views
Jamaa kaenda kwa mganga wa kienyeji, alipofika tu mganga akamwambia, "Wewe una matatizo na mkeo." Jamaa akajibu, "Yaa ni kweli mtaalamu umejuaje?" Mganga akajibu, "Mimi nimejua tangu huko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom