JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dahh nimeamka kichwa kinagonga, masikio yameziba halafu nimekasirika sana. Na wala sio malaria inayonisumbua, tatizo limetokana na ishu ya kupeana tenda kirafiki bila kupimana ujuzi. Unajua kila...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama ni kweli hayo ndio maisha yenu halisi baasi Tanzania na watu wake ni matajiri sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini Jamani Now days kuwa na socia media nyingi sana ambazo mtu unaweza upload Picha na watu waki access wanaeza ziona hizo picha ulizo share mfano mzuri ni Instagram,Facebook,Whatsapp,Imo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alishikwa akiwa na mitambo ya kutengenezea gongo ikafika siku ya mahakamani akawekwa kizimbani mambo yakawa hivi... Hakimu;unashtakiwa kwa kosa la kukamatwa na mitambo ya kutengenezea...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Oo kuanzia Leo hakuna daladala kusimamisha abiria nani kasemaa, ni maneno tuuu Ila inawezekana saana Ila wahusika hawako serious
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Kuna mdada nipo naye kwenye mahusiano kama mwaka sasa lakini kila tukionana au nikilala naye lazima aniombe hela.Sasa najiuliza huyu ni girlfriend au ananiuzia.?Girlfriend Kwa ninavyofahamu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau bila shaka mko poa!! Hivi ni mbinu zipi ambazo hutumika ili kumtongoza demu unaekutana nae kwa mara ya kwanza. Nisaidieni mana courage hiyo sina ila nahitaji sana niweze
0 Reactions
46 Replies
19K Views
Ebwana wana JF mzuka! Kila mara huwa najiuliza hivi kwa nini vitu vingi vinavyoanza na herufi K ni vitamu sana mfano kalmati, kachumbari, keki, kitumbua kuku. Naaaaaammmm na hii ndio tamu...
0 Reactions
61 Replies
12K Views
Hivi inakuwaje umegombana na mkeo very strongly halafu umatoka kwenda kutumia sehemu unakutana na demu mkali ZAIDI ya mkeo na anakunyenyekea balsa huwa inakuwaje au unaweza chilukua uamuzi gani
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu bila salam maana kila nikikumbuka tukio la jana hua nastuka stuka yaani Hua na tabia ikifika jioni naenda kula dawa(sigara kubwa)maskani then nikitoka hapo napitia msikitini kusali sala ya...
0 Reactions
4 Replies
927 Views
Wanaume siku izi tunaziogopa, kwani mwisho wa siku mwanamke ndo hufaidika mara mbili.
6 Reactions
22 Replies
6K Views
Jana katika taasisi ya wanyama pori ya Nat Geo ilitangazwa kuwa ametokea nyoka hatari sana ambaye hajawahi kutokea duniani wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka urefu wa 0.5sm kila kila chakula na...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Mbwa na Paka walikuwa wanasafiri kwenye gari kwenda Iringa. Wakati safari ikiendelea Paka akamwambia Mbwa, "Binadamu ana dharau sana, wanyama wote anaowafuga anawala kasoro sisi tu." Mbwa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Tehe tehe tehe kisa hiki n'takielezea siku nyingine nikipata muda!
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mume: Mke wangu kuna kitu nataka kukwambia? Mke: Kitu gani? Mume: Nataka kuoa mke wa pili. Mke: Unasemaje we mwanaharamu?! Tehe tehe tehe kilichoendelea mi sijui!
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Haiwezekani kabsa!
0 Reactions
1 Replies
856 Views
0 Reactions
21 Replies
4K Views
jamaa mmoja kavamia semina ya wasomi iliyofanyika ubungo plaza jumamosi iliyopita,waliohudhuria wakaanza kujitambulisha wa 1;naitwa anna toka sua nasoma agriculture science mwaka wa kwanza wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
baby naomba unicredit voch ya 5000/-pia ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima b.cause niko na mashost zangu,afu nadaiwa 50,000/-nilikopa dear,na please naomba uniongezee 30,000/-ya vitabu...
1 Reactions
0 Replies
848 Views
Jana kuna dada mmoja nilikutanishwa nae ili nikamuonyeshe mzigo flani anahitaji. Nikampigia simu akasema niko sehemu flani nimfate na nikafanya hivo. Kufika tu Hatujuani, ndio tunaelekea sehemu...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom