.....Sasa nikupigie simu uje ukaleta visingizio visivyo na kichwa wala miguu
au ukaleta kiburi kisicho na faida
utajua kupangwa kwa kihindi kunaitwaje
halafu mkaja kulalamika wanaume...
Mtoto wa kiume, umri mkuubwa kila kitu. Mama yangu, unavunja, unapoteza vitu vya watu unampa mzigo wa kulipa mamako.
Hela ya starehe Mamako
Hela ya kuhonga Mamako
Nguo ulizovaa Mamako. Viatu...
Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ''ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI...
Heri ya mwaka mpya! kwenu wana jukwaa...
Kuna jambo linanitatiza sana. mfano: mmekaa somewhr, au hata home mnapiga story mbili tatu hivi, then ktk maongezi yenu mkamuongelea mtu furani hivi. but...
Eti ni harufu ya kitu gani ambayo huipendi kufa, yani uko radhi kufanya chochote ili hio harufu ikuepuke....worst smell ever wazungu wana sema.... harufu mbaaya kupindukia, guys emu tucheke...
Kiburi dawa yake ni jeuri tu.
demu kamtumia Boy friend wake
barua: Mambo Mpenzi? nimempata mchumba mwingne Handxome Boy, mwerevu ana pesa na ana mwili mzuri kukuzidi wewe kwa hiyo naomba...
Nimepanga kwenye nyumba moja hapa Mbezi Makonde, nadaiwa kodi ya mwezi mmoja. Nimemwambia baba mwenye nyumba anivumilie kidogo, kaitikia ndio ajabu kila akiniona ananiimbia taarabu.
Je, huu ni...
Kuna wanaume ambao mpaka leo wanadhani, kwa akili zao fupi kuwa kupiga wake zao ndio kuonyesha kuwa wao ndio wanaume wa ukweli. Juzi kati hapa kwetu jamaa mmoja mwenye akili fupi kama hizo, ambaye...
1.kila mwanadamu ana harufu ya peke yake ( mfano jasho) hata mkiwa mapacha kila mtu atanuka kivyake
2. Hakuna Mwanadamu alie wahi kuwaona paka wakifanya mapenzi
3.
4.
5........ONGEZA YAKO
DAWASCO YATANGAZA KUZIMA KWA MTAMBO WA MAJI WA RUVU CHINI KWA SIKU MBILI
Afisa Uhusiano wa Shirika la Maji Safi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO), Everlasting Lyaro, akizungumza na wanahabari...
Wewe Nitakupeleka Polisi
Vichekesho
January 14th, 2016
0 Comments
54 Views
Padri alikuwa akiwaungamisha waumini wa kanisa lake huku kila mmoja akitaja dhambi zake waziwazi moja baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.