This made me laugh "NINAITWA DENNES WA NJOMBE." NILIWAHI KUMPENDA DADA MMOJA ANAITWA FARIDA WADHIRI, KILA NIKIPANGA KUMWAMBIA NAKUA MWOGA NASHINDWA, CKU MOJA NIKASEMA NAJIKAZA HADI NIMWAMBIE, ILE...
Kipi ungependa Kutoka Kwangu,kabla Mwaka Huu haujaisha?
1=Moyo wangu
2=Furaha yangu
3=pendo langu
4=Urafiki wa dhati
5=Dua zangu
6=Msamaha
7=Mahusiano
8=Kuchat sana
9=Muda wangu
10=Kuja...
Tupia kitu ambacho huwa ukikiangalia kwa mpenzi wako unacheka kimoyo moyo ili asijue.
Naanza mimi: "kiukweli mpenzi wangu ana bonge la chogo ila wigi ndo huwa linafunika chogo lisionekane".
Leo baada ya kutoka church nikaamua kupita kwa wadogo zangu wawili kuwasalimia na kuwatakia amani ya bwana. Katika kupiga piga stori tukafikia kuulizana hivi maziko yetu yatakiwa wapi tukifa leo...
Katika basi moja lililo kua likisafiri katika siti moja ya basi walikua wamekaa shehe na padre wakasalimiana wakapiga stori had wakafaamiana katika kituo kimoja njian padre akanunua kitimoto...
Kma ilivyo hapo juu,mziki wetu wa kizazi kipya ulianza ku~hit miaka kma ya 95 na ushehe?,album ipi kwako ilikuwa bora,yaaan ukisikiliza ktk hizo nyimbo hupendi kupeleka mbele,mm miongoni album...
Wakuu natafuta ndege aina ya BOEING 737 used niinunue inisaidie katika misele yangu ya kila siku na mambo fulani ya kula bata, ambaye anajua sehemu zilipo anijuze hapa please
Da,hawa jamaa na wakubali kwa kulenga,maaana nikimwangilia hapa huyu mzeee jins nguo.ilivyo ndefu na hii speed aliyonayo jins anavyokata mikona mpaka anapinda kulia kushoto lakin nguo ipo sawa,big...
Tangu shamrashamra na purkushani za kukamata majangili na wahujumu uchumi nchini zianze, hasa idara za TRA, Bandari, na Wizara kadhaa ambazo wafanyakazi wake walikuwa wanaongoza kwa kuiba, sasa...
Jamani kuna best yangu hapa mtaani alitokea kumpenda sana mwanamke wa kichina mwishowe wakaoana. Tatizo likaja yule mchina alikua mkorofi sana kila siku jamaa alikua anapigwa sana ma kungfu...