Kada ya Ualimu-wavae mashati yenye vifungo mabegani vion meupe yaonyeshe madaraja yao kama vile grade A,AEO iii,EOii,EOi,PEOi,PEOii etc. Chini wavaa rangi blue iliyokolea.
Wahasibu wote wavae...
Wash'kaji eeeeeeeh!
Huku kitaani kwetu pande za pugu_kajiungeni kuna mtoto ni pini matata sana, kwa mwonekano, na kitabia pia (kwa mujibu wa majirani & wengine wanaomfaham').
_
Ni mweupeeeeeeee...
Habari za jioni Wakuu.
Hebu tujaribu ku-assume kama kungekuwa na tuzo kwa JF members kila mwisho wa mwaka husika ni akina nani wangebeba tuzo kwenye Category zifuatazo? Pia unaweza ukaongeza...
Pamoja na kuwa ni mpambanaji Ila Mimi ni mvivu. Ni mvivu kushusha net, hii kazi ya kushusha net naiona ngumu sana.
Kuhesabu hela, pia hapa Mimi ni mvivu. Naweza nikalipwa mzigo wa hela nikaubeba...
Wendewazimu baada ya kutibiwa kwa mdarefu madaktari wakafanyia majaribio kama wamepona hivyo wakafungiwa katika chumba kisichokuwa na mlango.
Kisha ukachorwa mfano wa mlango ukutani na kuamriwa...
Ushauri wenu unahitajika wadau,
Nilikuwa na kiti maalum mkoa tofauti na ninawasi, tulikuwa tumepeana nafasi na ni miaka kama nane tuko Pamoja ila juzi juzi wife aliiangalia cm yangu na kuamua...
Wakuu utafiti nilioufanya kwa takribani mwaka moja ni kwamba 80% ya wanawake wanaovaa suruali wana miguu membamba kama fito au toothpick.
TIRIRIKENI HAPA.
Wadau nataka kwenda arusha kwenye tarehe 20.dec 2015 hali usafiri ikoje kwa waliosafiri wiki hii kuna shida ya usafiri au hali bado haijachanganya nauli imefikia sh ngapi?
Namtafuta clasment wangu anaitwa Wilyalfa Wilyfest. Tumemaliza wote stnd 7 pale mwereni primary. Pia hata wengine tuliokuwa pamoja mnakaribishwa. Bila kuwasahau Robati kamili, kinanasi mdevi...
... Jamani jamaniii....
Mke na Mume na watoto wao wawili walilala kitanda kimoja.... mmoja wa miaka 2 na mwingine wa kiume miaka 4.....
...Mapenzi yakaanza usiku....
...mara wakamuangusha...
kuna kitu kimooja ambacho mwenye kujua atujuze hata ikiwezekana kwa picha,mm sina kumbukumbu kma nilishawahi kumuona mtu mweupe[MZUNGU] kama kasuka rasta au kusuka kikawaida,hebu mwenye kapicha...
Wasalaam wana MMU!
Ninayaandika haya nikiwa ni mwenye furaha iliyopitiliza.Furaha Ambayo imenifanya nije hapa kuja kuwashukuru wana mmu walioamua kuacha kazi zao na kuja kuungana na mimi...
Wakuu najuta tena najuta mie kununua gari ni sawa na kuoa mke wa pili,
Kwa kifupi hili gari ni sawa na mke wa pili kwani linanipelekesha na kutaka kunitoa roho kabisa, lina gharama kama mke wa...
Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala hahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yake anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE Meseji Tamuuu ambayo kila...
Wakuu!
habarini za mida hii?
Kwa moyo wa ukunjufu kabisa..
Naombeni tuwe na umoja na upendo tena uzidi ule wa mwanzo..
Tofauti zetu tuzitupe kule..
Tuliowakwaza kwa njia yoyote ile twaombeni...
Wakuu habarini jamani,
Baada ya kujipanga mwaka mzima , nikaamua kutumia kajibonasi kangu kufanya ziara mlimani city. Huwa napitaga tu nikitoka Mwenge kwenda Ubungo. Sijawahi kuingia.
Basi bwana...
👉ukisikia mpenz wako anakuita baby ujue kuna mkubwa wako"!!!
👉Sio kila anayekwambia I love anakupenda wengine wanajifunza kingereza.
👉Mke Mwema Anatoka Kwa MUNGU,mume...
Baba anamuuliza mtoto wake wa kiume:
Baba: Ukiwa mkubwa utapenda ufanye kazi gani?
Mtoto: Mimi napenda sana Udaktari!!.
Baba: Kwanini?
Mtoto: Kwa sababu ndio kazi pekee unayoweza kumuamuru mke wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.