JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mzee mbuya wakilema baada ya.kuona wanawe wote wako.nje awaji.xmass kamwe akanyanyua.simu akapiga kwa mwanae joy wa s.africa joy kuanzia kesho nimeamua kuachana.na.mama yenu kabisaa..pemben...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salamu wapendwa! Nawatakia maadalizi mema ya sikuu ya xmass na mwaka mpya 2016, ili Mola awajalie mema yote aliyopanga kuwapa waja wake kila la kheri
0 Reactions
2 Replies
744 Views
Wale wote tuliosoma musoma tech tukutane hapa. Naomba kuwaslisha
0 Reactions
1 Replies
895 Views
If you married an English figure lady and you desired that she had big behinds. One day as you were praying for her behinds to grow, you heard the voice telling you, in order for her behinds to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wahenga walisema penye wengi pana mengi, kwa chunguza yangu ya harakaharaka nimegundua hawa wapo humu ndani:
1 Reactions
1 Replies
2K Views
ooh..!Ghafla mipango sina nimerudi kitaanee, Nimeshindwa kuongoza timu nimesepa Chelsea, umeneja umebaki jina hanitaki Romanee, Hazard goli hakuna Costa ndo hataree,. oh na mashabiki zangu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunaelewa kuwa kijana akitaka kuoa lazima apeleke mahari aliyopangiwa upande wa msichana, suala la kupokea mahari PESA , ni sawa na kumuuza binti yako kwa mwanaume. Hapa mnabadilishana kibiashara...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Vya enzi vizuri wakuu...siku hizoo zilizopita michezo ya watoto ilikuwa ikiwavuta na kuwaweka watoto pamoja sana na ilidumisha umoja na mshikamano hata kwa wazazi. Cha kushangaza watoto wale wa...
1 Reactions
127 Replies
17K Views
Hii ni taabu jamani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aisee, yani kuna ambao nilikua nimewasahau kabisa,ila leo ghafla napokea text inasema: ''mambo baby wangu wa ukweli, najua bado una hasira na mie ila nilikua nataka ifike December ndio nikuombe...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
UKIPENDA BOGA PENDA NA UA LAKE: Alifika mwanaume akiwa anahema ametoka kazini kabla ya muda wa kawaida, akamwambia mke wake'," jiandae haraka tuna safiri kwenda Mbeya" Mke...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za wkend, Jamani kuna huu wimbo unaitwa AFRO wa les Wanyika mwenzenu unanichanganya sana. Kila niusikiapo natamani ninyanuke nicheze. Na nyie wenzangu nyimbo gani ya zamani inawagusa?
0 Reactions
89 Replies
29K Views
Huku kupo poa kabisa
0 Reactions
0 Replies
442 Views
jamani tuambiane ukweli hapa, kwa wale walevi wa pombe hasa BIA tuambieni, ni nini hasa unakipata kutokana na kulewa bia je unaondoa mawazo, je inakuburudisha, au ndio kwanza inakuongezea ufukara...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hakika siku hii ni kati ya siku muhimu sana kwangu na kwako mpenzi wangu uran. Ashukuriwe Mungu kwa neema yake kwako na abarikiwe mama aliekuleta duniani na kukukuza kwa malezi bora mpaka hapo...
7 Reactions
137 Replies
13K Views
TEACHER= Kama mama kwa Kiingereza anaitwa madha, baba ataitwaje? STUDENT= Badha. ???
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtoto wa pastor kalike page ya dume condom Mtoto wa chapombe kalike page ya GOD IS GOOD
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanaume walio namachogo wana akili sana darasani na hata ktk maisha ya kila siku lakini ktk suala la mahaba nibure na wakati huo huo wanaume wasio na chogo huwa hawana akili za darasani na hata za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu ni hoja ndogo hapa; Eti kwanini pesa za sherehe kama, harusi, send off na kitchen party hazilipiwi kodi TRA? Wakati pesa zake zinachangiwa na watu/umma? Ni pesa za umma hizo, why?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani hivi utajisikiaje kukuta Mzazi wako yuko JF? Kilichonikuta sitaki kusema kabisaaa. Yani kuna mtu huwa namwonaga jukwaa fulani hivi kumbe daah ni Maza mkubwa yani. Imenifanya nijiulize kama...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…