JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jaribu kufikiria,mke/mme umekaa nae kama 10 yrs,siku moja mnagombana/kukorofishana tu hapo ndo mambo yote na siri zote zitatoka.mara mchawi,pesa zako za mapaka etc. Mwingine anaishi mjini kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mgonjwa alipiga simu kwa daktari bingwa ili kufanya appointment na maongezi yakawa hivi. Mgonjwa- 'daktari nahitaji kukuona naumwa'. Daktari- 'hamna nafasi mpaka wiki ijayo' Mgonjwa- 'naumwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
A Prof stepped into a law class & threw an orange at one of his students and said "Give it as a gift to any of your friends now". The boy said to one of his friends "Tee, I give this orange...
1 Reactions
1 Replies
955 Views
Wajameni karibuni sana, kila kitu ni BURE kabisa yah thats rite BURE!!!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mazee life la siku hizi nimeshaona kuna mijitu kazi yao ni kumendea wake za watu ili limmege tu basi litulie........na dada zetu sijui wana roho gani........wana roho nzuri sana hawa wa siku...
0 Reactions
90 Replies
7K Views
Mapenzi ya mali inachochea tamaa na kuharibu wema. Usia unawafariji warithi Mali ni chanzo cha hamaki. Bora ya akiba ni pale ambapo kazi zinatawanywa vyema. Fedha haimnufaishi mwenye...
0 Reactions
4 Replies
757 Views
Kusema kweli huwa hili jukwaa pa1 na lile la chitchat yanakuwa matamu wikend. Leo nina stress zangu za kawaida nikaona nizame huku baada ya kusinda kulee kwenye siasa, duh! Sijaamini macho yangu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1 x 8 + 1 = 9 12 x 8 + 2 = 98 123 x 8 + 3 = 987 1234 x 8 + 4 = 9876 12345 x 8 + 5 = 98765 123456 x 8 + 6 = 987654 1234567 x 8 + 7 = 9876543 12345678 x 8 + 8 = 98765432 123456789 x 8 + 9 =...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Baada ya kuvuta msuba wa kutosha,mvuta bangi alijikuta akichukua kioo na kukitazama.Yule mvuta bangi alishindwa kuitambua taswira aliyoiona kwenye kioo,akaamua kumpa kioo mvuta bangi mwenzie ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimeona ni rahisi saana,unaimba tu nanana naniniii nanana naniiniii *20 baaasi lol,na watu wananunua......lol
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Matatizo Duniani hapa hayawezi kuisha kwa style hii! Polisi njaa wanaomba uhalifu uongezeke ili wale Rushwa, Wanasheria wanaomba kesi ziwe nyingi ili wavune pesa, Madaktari nao wanataka wagonjwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa, Mkiwa sehemu ya familia yangu, sehemu ya furaha yangu,....................karibuni mshereheke nami katika siku hii muhimu kwangu. Ninawapenda. Pamoja sana
5 Reactions
63 Replies
4K Views
Dah kama mwezi umepita sasa tangu nijaze fomu ya ku update information ya akaunti yangu ya CRDB, nikajua nimemaliza kumbe kha! Leo tena nimeletewa fomu nyingine ina madudu ya kujaza kibao kama...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Wezi wa mifugo waliiba Ng'ombe kwa Mmasai na kumbakishia Ndama mmoja tu! Kisha wakamfunga yule Mmasai kwenye mti usiku kuchaa, Asubuhi yake majirani wakamuona yule Mmasai na kumpa pole baada ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tech Support: "I need you to right-click on the Desktop." Customer: "Ok." Tech Support: "Did you get a pop-up menu?" Customer: "No." Tech Support: "Ok. Right click again. Do you see a pop-up...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
kuna jamaa dereva alikuwa anachuki na mahakimu kila siku ana drive nje ya mahakama ili akimuona hakimu amgonge, sa siku kampa lifti padri na kupita mahakamani mara hakimu huyu hapa, akataka...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Duh
jamaa mm1 alikaa masaasita akichunguza cheti chake cha ndoa mkewe akauliza kulikoni!!mumewe akajibu ninatafuta expir date siioni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
...post yangu imeondolewa... I had good intention.. Msi ni "BAN".. p'se.
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna mganga mmoja maarufu anajinadi kuwa yuko tayari kuondoa msumari wa uchawi aliopigwa waziri mkuu wa siku za kale ambaye kwa sasa yuko Ujerumani kwa matibabu. Akiongea kwenye kliniki yake...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwehu alikuwa akitizama mechi live.mara shabiki mmoja akasema"goli la kwanza hiloo" ghafla likaingizwa kweli,shabiki mwengine nae akasema"lengine ilooo linaingia" mara likaingia kweli golini.mwehu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom