Watanzania tunachagua sana vitu vya kula na kutumia angalia wenzetu wachina milo yao inapatikana kwa kwa vitu vinavyopatikana bure au kwa gharama nafuu mfano;
1. Nyoka huitaji kuwafuga unawatafuta...
kuna jamaa mmoja ktk nyumba niliyopanga anapenda sana kupiga wenzie chabo mara ktk nyufa za milango, mara dirishani na kwakuwa nyumba yetu haina dari kwa juu anapanda na kuchungulia. Amekuwa kero...
Dear friends and fellow members,
Niko Airport ya Dar waiting my connection flight to Turkey. Will be in Turkey (Istanbul) for eight days at Green Park Hotel located in the City Center. Its more or...
87% of Smartphone users use their phone on the toilet. No wonder that there sometimes is a lot of background noise: Android4Africa: Android is dominating in the Toilets
:A S embarassed:
1. Kujiita romantic wakati upo single?. 2. Kung,arisha viatu wakat unaenda kupga passport size. 3.Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha?. 4. Kumwamsha mgonjwa ili...
Nimewasikia mwenyewe jana kijiweni walevi wakipanga mgomo wao. "Ati haiwezekani tunanyanyaswa sana kila wakitaka kupanuo wigo wa kutoza kodi wanaanza kwanza kwa walevi halafu wavuta sigara...
Jamaa kajitoma mskitini ghafla, huku majasho
yanamtoka!
Mkononi kashika panga kali, Akauliza,"nani muislamu hapa,"
watu
kimya. Karudia tena kimya "nani muislam hapa".
Ghafla kamnyakuwa
jamaa...
Mimi ni mwajiliwa kwenye kampuni ya mwekezaji hapa Tanzania, mkataba wangu unasema km nitataka kuresign nitoe notice period yamwezi mmoja au nitoe mshahara wangu mzima wa mwezi mmoja km sitaweza...
Daktari mmoja baada ya kuwapa tiba wagonjwa wa akili, akaamua awape jaribio kuona kama wamepata nafuu. Hali ikawa hivi;
Daktari akawaingiza darasani kisha akatoa mtihani. Kwanza akachora mlango...
Kwa wale wanawake wenye waume zao hapa Jf mchunge sana..umu kuna vijizi vya mabwana za watu,macho yao yako juu juu kuiba tu..
Sisi tuliopendwa tukapendeka,tuliotulia tukatulizana,tuliotunzwa...
Kwa mara ya kwanza katika historia yangu, nimevaa vazi hili lenye asili ya Mashariki ya Kati. Moja fulani hivi nyeupe, pamoja na kofia yake yenye muundo wa nyavu nyavu. Nahisi nimependeza ile...
Mie sikuyajua haya..
Katika pitapita zangu mtandaoni ndo nikakutana na hii kitu... Hata sikuamini macho yangu.
Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM
KUTOKA KIJIWENI
Kweche: Hii ni hali ya hatari !
Susei: Kwa nini unasema hivyo, kulikoni?
Kweche: Madaktari wote wamegoma, walianza wale wakawaida, sasa nasikia na madaktari bingwa nao wamegoma...
jamani kama kuna mtu anaukumbuka ule wimbo tulikuwa tunapiga kwenye gwaride la shule ya msing enzi ya mwalimu Kajiba. wimbo wenyewe ulikuwa wa mwndo wa pole. unaitwa baba paka nyau, please!
Wife is like a TV
Girlfriend is like a MOBILE
At home u watch TV, but when u go out u take ur MOBILE
No money, u sell the TV, got money u change ur MOBILE
Sometimes u enjoy TV, but most of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.