Hivi Wana JF huwa mnajisikiaje mnapoona au kusikia matangaza ya yanayotolewa yanoyoelezea umuhimu wa kuosha mikono, kutumia chandarua, kunywa pombe kwa kiasi, kuosha uso au kuwa na mpenzi mmmoja...
hi wanajf, kiukwel niliwakumbuka sana.
kutokana na avater na majina ya ubinifu tunayoyatumia inawezekana ukawa hujamjua mtu halis unachat nae hapa jamvin. sasa leo napenda kukupa nafasi ya...
Mtoto mmoja alirudi kwao akiwa amenuna balaa!
Mama:Kulikoni?
Mtoto:Leo mwalim wa hesabu hakuja!
Kuskia hivo,mama akafurahi akijua mwanae anapenda shule!
Mama:Nitakutafutia mwalim wa hesabu...
TOP 10 YA KAULI ZENYE CHANGAMOTO...
1. Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe - Mramba
2. Graduate msio na kazi kafugeni kuku biashara inalipa sana Mahiza
3. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora -...
Wana jamii wote heshima mbele. mchungaji osca wa kkkt usharika wa mbezi luisi amefiwa na baba yake mzazi huko morogoro. alikuwa ametokea tanga kumzika dada yake aliefariki wiki hii. tuungane na...
Tunatambua kweli kuna Taaluma ya waandishi wa habari. Kazi yao ni kuburudisha jamii, kuelimisha na kutoa habari. Bahati nzuri au mbaya siku hizi kila mkoa una wawakilishi wa kuandika habari...
10% of women have sex within the first hour of their first date
20% of men have had sex in a non-traditional place
36% of women favour nudity
45% of women prefer dark men with blue eyes
46% of...
Mlevi mmoja alikuwa akiendesha gari huku akiwa amelewa na pia akiwa na chupa ya whisky mkononi.wakati akiendesha katika barabara fulani askari usalama alimsimamisha na kuanza kumhoji kama...
Hapo kale Moyo na ndevu walikuwa marafiki. walikuwa wanaishi kwa furaha nyumba moja.
Siku moja moyo akamuibia ndevu. waligombana sana hadi moyo akakimbia. ndevu nazo zikamkimbiza moyo ili...
Sikia Hii.................
Nimeshawishika kuamini kwamba si kila watoa misaada wana nia njema, mintaarafu wengi wao hususan wafanyabiashara hii huwa ni fursa pia kwao kujitangaza, hivi ndivyo...
Ebu ipotezeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Sio lazima ucheke kila siku,ebo!Nimekwambia uondoke,mbona unaendelea kutoa mimacho hapa?
ARAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Akiwa shoga maarufu na aliekubuhu, kwake kuchukua waume wa wenyewe ilikua kama kumsukuma cha-pombe. (mlevi).
Miongoni mwa waume wa watu aliokua akitimbwirika nao ni pamoja na mme wa Mama Jeni...
Wale wenye anyota za kuku huu ndo mwaka wao wa bahati kwani itakuwa rahisi kwao kuishi bila presha kwani watakuwa wepesi kusahau vituko vya serekali mwaka huu.
Wenye nyota za panya wawe...
Mkurya kaumwa homa,akaenda hospitali ili apimwe malari. Laboratorian akachukua kijisindano chenye ncha kali ili amtoboe kidoleni apate sampo ya damu. Mkurya kuona kisindano kidogo na jamaa...
Baada ya kufika nyumbani nikitokea safari niliamua kumwandikia msg dada aliyenihudumiachakula kwenye kantini ya chuo kikuu fulani hapa tz. Msg yangu ilisomeka hivi
" Dada ninapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.