Mi naishi kwa sister toka nimalize degree. Kazi yangu bado sijaipata naisubiria. Nitapata tu. Ila bado nahitaji kuendelea na mchakato wa papuchi. Siwezi sema eti nisubiri nikipata pesa.
Basi...
jamani kuna uzi wa jamaa kule anaelezea alikuwa anaumwa jino. Nimeona na mimi nielezee jinsi sikio la kulia lilivyochakaza!
Yaani sikio,jino,macho sio vitu vya kuchezea kabisaaa..
Mimi nilikaaa...
☝🏾Sikiliza mtangazaji alichokuwa anasema kuhusu hiyo convoy hapo juu dhidi ya viongozi wetu kutoka Afrika wamepakiwa kwenye mabasi huku Biden kaenda na ndinga zake.
👇🏾Na hapa chini Kuna mdau...
Baada ya kujaribu mara kadhaa ili niamke na kushindikana nikaona isiwe tabu, wacha nitulie tu labda nitaamka mwemyewe tu, lakini ikawa inashindikana.
Baada ya kuwaza kidogo, nikaona nijaribu...
Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana.
Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi?
Turudi kwenye...
Hebu tupeane uzoefu hapa kwenye hizi beer,
Maana lugha zimekuwa nyingi sana kitaa,
Mara hizi hazina wanga sana, zile hupati kisukar mara hata ukiwa na kisukari unakunywa, nyingine sinaleta...
Zamani nilikuwa nashangaa sana mtu anafikishaje miaka 30 hana nyumba wala gari?! Aisee naombeni mnisamehe[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Guys,
September naingia miaka 30 kwa hiyo nipo kwenye kumalizia my 20s [emoji4]
Nikifikiria nakua Excited and Nervous at the same time,
What does it feel like to be in 30s? will my skin change...
Habari wakuu!
Moja kwa moja kwenye mada husika. Nilikua sehemu huko kijijini napiga kazi, ila baada ya muda kama wa mwaka nikahamia town.
Kule bush nikawa nimezoeana na jamaa flan nae ni...
Kama wewe ni kijana na umemaliza chuo, nakushauri kaaa nyumbani usitoke mpaka utakapoona unaweza kujimudu. Usijaribu kujimwambafai ukaona umeshakua unataka kuanza maisha yakujitegemea.
Kaa...
Leo nilivokua msibani kwa bibi wa Wingerezani nimemuona binadamu asie wa kawaida nikajaribu kumpiga pic lakini kama akahisi nitaweka pic zake kama 1 mtaona kwanza macho yake hayako kama binadamu...
Wanafunzi wanaoendelea na masomo vyuo vikuu vya Tanzania hujishughulisha na shughuli mbalimbali za kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza, ikiwemo mizaha na vicheshi miongoni mwa wanafunzi...
Hello Guys!
Kama unatokea familia ya kiganga au wewe ni Mchawi unaye loga, tunajua haya mambo niya siri, sawa lakini nakuomba utupe tu dondoo mnavyo fanyaga mpaka mka mfunga mtu asiweze pata...
Wakuu ambaye yupo on air right now humu jf ajaribu kuchunguza time inavyoenda atagundua leo time unasogea taratibu kuliko siku zote.
Mim nimeanza kugundua mida ya saa saba kamili.
BASI LEO NIWA FURAHISHE WAKAGUZI WA FACEBOOK MAANA NIMECHOKA NA TABIA YAO YA KUNYAMAZISHA POST ZANGU😀😀.
Mimi na mpenzi wangu tulikuwa tuna wasiliana kwa video call kwenye whatsapp jana...
Hii tabia binafsi imenishinda kabisa hata kama niwe na shida gani.
Labda nikope
Lakini utakuta mwingine hana aibu, popote pale hata mtu ambae hamjui " mwanangu una elfu tatu karibu hapo..."...
Labda Mimi BabaMorgan I'm too young to understand kumbe inawezekana mtu kutoka jijini Dar es salaam na kwenda Mwanza kutafuta mganga alafu huku mjini ameaga kuwa kaenda Mwanza kikazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.