At dinner a little boy offered to lead in prayer; Dear GOD, I thank you for giving me such lovable parents. Thanks for visitors and their children who finished all my cookies & ice cream. Bless...
Jamaa walikubaliana washindane kusema uongo ambao utafanana na ukweli, mshindi apewe zawadi...
Mmmarekani: Kwetu sisi kule New York kuna majumba mareeefu yanafika mbinguni!
Jamaa: loh nyumba gani...
Medical alert about a highly dangerous virus called "Weekly Overload Recreational Killer" (WORK).
If you come in contact with this WORK VIRUS, you should immediately go to the nearest...
soooooooooooooo boring, yani tena nyimbo zenyewe basi hata kama umependa unakatizwa starehe na huyo mdada anaesema kama umependa wimbo huu bonyeza nyota, bora angesubiri mpaka wimbo unapoisha ndo...
Huyu dogo kama ni ushalobaro kazidi....
Huo mwendo ananikumbusha tukiwa watoto ilikuwa ukitoka kuangalia movie kali basi unatoka hapo na wewe unataka kufanya kama kina Rambo...Van Damme...
A man tells his doctor his wife hasnt wanted sex for months, and the doctor suggests a consultation with her.
so the wife comes into surgery and tells the doctor: Every morning, i take a cab to...
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa natamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima hadi leo hii na pia nawashukuru Wazazi wangu kwa kunilea vyema hadi leo,Asanteni wazazi wangu.
Nawatakia Birthday Njema...
carmel is my twin sister...(kama ingefaa kujitambulisha).
tulizaliwa siku moja...mama mmoja...baba mmoja.....temeke hospitali mnamo tar 27th-september.tulibatizwa sote pale kanisa katoliki...
Familia kutoka Tanga iliamia Mombasa.Usiku mmoja baba na kijana wake walikaa pamoja maongez yao yalikuwa ivi;
kijana;baba samahani mimi leo nimefanya mapenzi.
baba;..ooh bila samahani ushakuwa...
New research shows that people are easily getting diabetes by calling each other sweet names like sweetheart,honeypie,sweetpie and other sweet names.
To avoid the disease be calling your loved...
Nilikuwa na kazi maalum ofisini kwetu nikapata fursa ya kufanya "utafiti" ambao nilikusanya data zifuatazo:
Ofisi yetu ina wafanyakazi wanawake 42, na wanaume 72
Wanawake walioolewa ni 31, wasio...
Kwenye wall yake ya facebook kasema yuko serious anatafuta namba ya simu ya Amatus Liyumba. Eti amechoka kupanda madaladala.
Yaani najihisi baridi hadi kwenye mifupa
Jana kwenye redio Ujerumani Bi. Sara Batilda Burian aliulizwa alivyomfahamu marehemu Wangari, akasema alikuwa jasiri na kuweza kupambana na "mfumo dume" uliopo duniani. Nikapata maswali mengi...
Baada ya kutokea kwa ajali ya boti zanzibar Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh: Jakaya mrisho kikwete alikuwa akihutubia huku akitabasamu kama kwamba halikuwa Tatizo kwake,kama mwanamuziki...
mzee mmoja aliekuwa pande la baba miraba minne alikua akitaniana na mjukuu wake mambo yakawa hivi: mjukuu: eti babu uliniambia nianze kuesabbuu,; mmoja niongeze neno kablaya mmoja ambalo ni mtu na...
You have probably seen this before. It's called "COWMATICS". Read on...
SOCIALISM:
You have 2 cows and you give one to your neighbor.
COMMUNISM:
You have 2 cows; the Government takes both...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.