Dogo mmoja tangu alipozaliwa hadi umri wa miaka mitano hakuwa anaweza kusema.
Siku aliyoanza kusema, alitamka neno moja tu, "Bibi".
Siku ile ile, bibi yake akafariki. Sku ya pili akatamka...
Jamani wana jf watanzania tumeongezeka pia naomba usafiri wa majini uongezeke ili kupunguza ajali kama hizi juzix2 mv bukoba and now the same problem, same cause. HUU UMASKINI JAMANI.MUNGU...
Kumbe hapo mwanzo watu wote tulikuwa weusi, ila katika ujio wa Mwenyezi mungu alipendezwa watu wote tuwe weupe sasa akaanza mchakato wakutubadilisha watu wa mataifa mbalimbali wakiwemo wazungu...
Huwa nawaonea huruma wanafunzi wa vyuo wanaofanya mafunzo kwa vitendo kwenye maofisi yetu!
Wakike sasa ndo wanakoma (kutongozwa), midume kutumwa kama ni vibaraka.
jamaa mmoja aliibiwa Poch na buku ten Akaamua kuwakomoa wezi ↲
Jama akawambia wezi oya poa ka mmepanga niibia milion kumbe ni buku ten↲
Wezi katika kugawana mmoja akasema we jamaa...
Wapendwa
ndoa ya rafiki na jirani yangu iko hati hati ya kuvunjika, kisa jamaa katafuta mke mdogo (ofcourse anasema dini yake inamruhusu). Niliwahi kumwonya mke hakunisikia...kisa jamaa...
wanawapa wanaogombea umiss Tanzania maswali magumu hivyo jamani....no wonder wadada wa watu wameambulia patupu......wangeuliza kama bendera ya tanzania ina rangi ngapi zinapresent nini?LOL
Harusi ya kukata kwa shoka inafanyika leo Mwanza katika uwanja wa CCM kirumba.Waalikwa zaidi ya 2500 ama zaidi wanataraji kuudhulia,kwaufupu inasemekana itakuwa na-wageni kutoka KenyaUganda,DRC...
Bosi alimuaga mlinzi wake kuwa kesho yake jioni anasafiri kuenda SA.
Usiku ule mlinzi akaota kunatokea ajali ya ndege ambayo bosi angesafiri.
Asubuhi yake akamjulisha bosi kuhusu ndoto yake ya...
wakuu mimi ninapenda sana kusikiliza radio,nafikiri umefika wakati tuwapongeze watangazaji wa vipindi mbalimbali wanaojituma kufanya kazi zao kwa bidii na uhakika.
Mimi napenda sana wafuatao...
an arab was being interviewed at a US checkpoint...Name plz. "abdul aziz"
sex? "six times a week!!!" no, no I mean male or female!."doesn't matter, sometimes even camel!"
Doctor to his lady patient, "You look terribly weak
and exhausted! Are you having your meals three times
a day as I have advised?"
Lady replied, "Doctor, I thought you said three
males a day."
Jamaa m1
alikwenda shambani, akamuacha mkewe na ndugu
yake wa kiume.
Aliporudi akamckia ndugu yake na mkewe wakiongea:
Mke=haa!! Shemeji
Shemeji=haa nini?
Mke=kumbe na wewe huu mchezo...
Jamaa akanunua sabuni maarufu iitwayo OGESHA ilikuwa inatangazwa mno kwenye radio, TV na magazeti. Akafika home usiku, kama kawaida kuna mgawo wa umeme na watu kibao wanaoga, akaamua aogee kwenye...
Teh teh...Bolton kumbe ni wababe kuliko wale jamaa zetu waliofungwa nane!wao(bolton)wamefungwa tano tu.roooney kaondoka tena na mpira,mpaka ligi iishe chumbani kwake kutajaa mipira, teh teh!
Man in bar orders kingfisher beer.
Lady next to him: What a coincidence, Even I have ordered kingfisher.
Man: I'm celebrating.
Lady: Me too.
Man: What a coincidence. Why are you celebrating...
Wiki nimekuwa nikiangaika sana na kazi za kujenga taifa. Sasa nimeona niweke fursa hii japo niende nikajiliwaze Beach huku nikikata story na msichana yeyote bila kujali kubagua. hata wakiwa zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.