JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nawasalimuni ninyi nyote, leo nina swali dogo tu, je hakuna ujinga wenye faida? je makosa yote tunayofanya hayana faida yoyote? hebu tupatie ujinga wenye faida ili tuweze kujifunza.
0 Reactions
0 Replies
995 Views
For every action, there is an equal and opposite reaction. Newton's 3rd law of motion
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Toka nimalize chuo hali yangu kifedha inazidi kushuka kila siku, na naona itafikia pahari sitoweza ingia jf kabisaaaaa, so natoa contancts S. L. P 2242. Tuwasiliane.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
WanaJF naomba mniunge mkono Invisible apigwa Ban kwa mienzi miwili Kosa: Kuleta taarifa bila ya kuzibitisha ( shimbo na wiza wa 3 Trilion) Muda: 2 Months Hii itakuwa fundisho kwa kila mtu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mme karudi nyumbani akiwa njwii (kalewa). Mke akamwuliza; Mme wangu mbona umelewa hivi, twende unionyeshe ulikuwa unakunywa wapi. Mme akampeleka kwenye baa ya muuza gongo. Mama muuza gongo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi sa hivi ni usiku au mchana? ni mchana au ni usiku? usiku, a, a mchana ok baadae ni usiku HAMNA ni Mchana..!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Toka umejiunga na JF miezi kadhaa iliyopita umekuwa ni kati ya wanaJF ambao wamekuwa mvuto wa aina yake hapa jamvini kutokana na maoni, ushauri, ama michango yako ktk topics mbalimbali. Umekuwa...
13 Reactions
86 Replies
8K Views
Jamani wacheni nimwite mungu na abaki kuwa mungu ..tar 2 august ndio siku yangu ya kwanza kumuona kisura wangu aliekuja kuwa mtarajiwa wangu na sasa ni mamadidy aka mamafaith,,tar 3 mamaaa didy...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Leo katika zunguka yangu ile nimetoka mitaa ya maskani nikaamua kukamata basi chap chap kwani nilikuwa siendi mbali.. basi lilikuwa halina watu wengi nikakaa fresh kwenye kiti kilichokuwa karibu...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Kilema na kipofu walikuwa safarini ikatokea gari likawa chafua kwa maji machafu yule kilema akamwambia tulikimbize gari kipofu akamwambia tulliza munkari nilisha save number usipime ni full mavicheko
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna mchungaji alikuwa akihubiri kanisani akisema Mtu atakayetenda mema siku ya kwenda mbinguni atakwenda kwa ndege. Sasa ikafika siku ya kwenda mbinguni, jamaa mmoja akafanikiwa kwenda kwa ndege...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Eng Stella Manyanya kama nilivyomsikia yeye mwenyewe katika mahojiano kwenye kipindi cha mahojiano kabla ya bunge leo asubuhi tbc taifa. Happy birthday Mh. Eng. Stella...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Try your name in JAPANESE.. Its funny..... A- ka, B- tu, C- mi, D- te, E- ku, F- lu, G- ji, H- ri, I- ki, J- zu, K- me, L- ta, M- rin, N- to, O- mo, P- no, Q- ke, R- shi...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
kwakua ndugu zetu waislam..ni wakarimu na waungwana na wako kwenye kipindi cha mfungo wa Ramadhani natagemea basi..Dada FAIZA FOXY kumkaribishana FUTARI na DAKU Rev Masanilo....MUADHIRI...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mangi mmoja muuza vyepe alitoa mpya ya mwaka baada kutaka kudanja kwa kuendekeza pesa na msos anao, unajua ilikuaje... IKO HIV....... Mangi kijiweni kwake anauza vyepe mara njaa ikaanza kumuuma...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
She came and conquered JF with her no holds barred kitsch ..............................she was raunchy yet hilarious performing artist..............................but after being faced with a...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Reason: Banning JF members Week-end njema !
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Jamaa mmoja mvuta bangi alipo maliza ku vuta alianza kutembea kwa magoti akaulizwa mbona hausimami akasema nikisimama nitagusa mawingu ebwana ilikuwa nimavicheko.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi ukawa Mod leo mtu wa kwanza Kumpa Burn ni nani? Mimi naanza na ....foxy
4 Reactions
90 Replies
6K Views
Jamani mbona mgao ni kama haupo tena baada ya wabunge wa CCM kugeuka wapinzani hapa juzi kati. Kumbe wakitaka wanaweza kulimaliza tatizo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom