JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa mmoja alikua ameulamba viwalo vyake fresh kabsa,akawa anapta vchochoron,mara akakutana na kundi kubwa la vibaka wakamteka,wakamwambia atoe alicho nacho kabla hawajamjeruhi,jamaa akawa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku moja bwana Mungo park alifika kando ya mto niger akiwa na farasi wake.Alimfunga yule farasi kwenye mti wa karibu kisha akaenda kuoga mtoni.Alipokuwa akirudi,alielekea kule alikomwacha farasi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
House girl alipokuwa akifagia chumba akaona condom uvunguni akauliza hii ni nini? Mama akamjibu kwenu hamt... Housegirl akajibu...tuna t...lakini sio mpaka ngozi itoke... G9t my pipo, naona huu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaa wawili walikaa meza moja bila kujuana kama wote ni MASHOGA, Pombe ilipokolea mmoja akapendekeza waulizane methali..atakayepata anamfira mwenzie. Shoga wa kwanza akatoa methali rahisi ili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kijiji kimoja Pemba ilikuwa kuna shimo km 1 kabla ya kukifika, wenyeji huwa wakipita hapo huanguka na kuumia, wakashauriana nini la kufanya. Majibu kwa asilimia yalikuwa kama ifuatavyo:- 1. Iletwe...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Teacher: Is a trouser singular or plural? Pupil: Singular at the top and plural at the bottom! What is your answer:
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilimiss mahala hapa teh teh teh... Romance sina topic mie napita tu kusalimia.. hivi mods bado huamisha uzi wa kizushi?????? teh teh teh
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Dah! Yale Mamovies ya kina Chuck Noris, Jet Lee, Anold, ect nikiyakumbuka waga yananikumbushaga mbali saana! Enzi hizo tulikuwa tunazamia katika mabanda ya kuonesha hzo movies. Tulikuwa...
0 Reactions
58 Replies
38K Views
Km huzijui, hapa ndio pa kujifunza. Angalia mwenzako Khanji Bhai alivyojibu kwa ufasaha: (1) Mfa maji?… tampa life jacket. (2) Mwenda pole?…tachelewa fika. (3) Usipoziba ufa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Pals pray God,there's eclipse of the moon.subhanaallah!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cockroach is afraid of a rat... Rat is afraid of cat... cat of dog...dog of man...man of his wife and wife is afraid of cockroach!
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Check out Guess Your Number - It's Magic!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wale Aza Boys wenzangu nashauri tuunde Alumni yetu. Ingawa miaka ya karibuni imekuwa na mchanganyiko hata hivyo ali mradi mtu amepita katika majengo yale tuwe na umoja wetu hata humuhumu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo katika hali ambayo sikutegemea nimetoka kazini mbio mbio kuja kuangalia taarifa ya habari nikuwa na hamu ya kuangalia na kusikiliza kambi ya upinzani wakitoa bajeti yao mbadala, lakini sikuona...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Inauma unapoona heshma inakutoka.... Tena inapofikia hadi mtoto mdogo anakucheka, hapo inauma zaidi... Haya matatzo yote ya nchi niipendayo yana dawa! Dawa ni lazma iwe chungu kupta shubiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.Ikidhitishwa umeiba mali ya UMMA ( UFISADI ) Ukatwe mkono wa kulia na kufilisiwa mali zako zote 2.Ukikamatwa na kosa la kutumia vibaya madaraka Ukatwe makalio yote mawili ili usiwe unakaa uwe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Zaman utaftaji wa marafiki ulikua kwenye magazeti tu, sio cku hizi kwenye maFacebook, twitter etc.Hiyo ilikua miaka ya 9O mwishoni wakati huo nlikua mdogo. Kulikua na Mjomba angu alitoa address...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamaa na mkewe walikuwa wakivunga watoto pindi wanapotaka kula uroda, jamaa humuita mkewe:" mama nanihii niletee typewritter yangu", basi mama anaenda na mambo yanaendelea. Siku moja jamaa karudi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ilikuwa ni noma mbaka huruma baada ya dogo mmoja kumuaga mwalimu wake ili arudi nyumbani kwa kisingizio kuwa babu yake amefariki baadaye mwalimu anaenda msibani eti babu anamwambia mjukuu jifiche...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dada Mmoja alipata Mimba ikawa na Mapacha ndani... Sasa Mwanaume alivyokuwa kazini yule dada akaenda kinyume na sheria akamleta mwanaume mwengine ndani ya nyumba na mambo yakawa kama hivi ndani ya...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom