Kulikuwa na Mfanyanyabiashara aliyekuwa anaishi na Binti yake, Vijana wengi walimfukuzia yule Binti bila mafanikio.Ndipo Kijana Mmoja akaenda kuomba kazi za ndani, na alipofika akajitambulisha...
Kuanzia Kesho Alfajiri (07/04/2011) na Muda wa Kuanza Kazi kwa Nchi Nzima Uwe Saa 9 Tisa Usiku wakati muda wa kutoka kazini ukiwa ni saa 12 Jioni kwa nchi Nzima.
Na kila Mtanzania asome kitabu...
.........Chinese couple in Dar gave birth to a black baby and Dear husband asked Dear wife... Chu, why baby black? She replied... We live in Tanzania, no electricity... Me hot, u hot, sex hot...
Mswada wa Sheria ya kupitia/kutengeneza katiba mpya nchini utakaowasilishwa bungeni umeridhiwa
na Rais Kikwete uende jinsi ulivyo sababu anajua utapingwa kila kona, vijijini, mashuleni na vyuoni...
The 1st Affair
A married man was having an affair
With his secretary.
One day they went to her place
And made love all afternoon.
Exhausted, they fell asleep
And woke up at 8 PM...
Kuna habari kwamba ujumbe wa umoja wa mataifa umeelekea Loliondo majira ya asubuhi hii. Wajumbe waliolekea huko ni kutoka Dar na Arusha. Updates baadaye.
leo mavuzi academia toka zaire itapiga muziki kumani resort chini ya udhamini wa ****** promo na beer tuipendayo ya denda lager.mwimbaji wake mashuhuri mr.mboo ataingia kumani akiongozana na...
BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Mkoa wa Shinyanga limejipanga kuchukua majimbo yote ya mkoa huo na kuwa chini ya chama hicho katika uchaguzi mkuu mwaka 2015...
juzi kati nilikuwa na jamaa yangu mmoja akanihadithia mkasa wa kweli ambao nilicheka sana, na nnaona ni jambo jema kizuri kula na wenzio. sasa wacha niimwage hapa
anasema kuna jamaaa mmoja...
Mkoa wa rukwa ni moja ya mikoa iliyosahulika kabisa nchin tanzania. Barabara mbaya, umeme wa taabu, Katika safar yangu nilifanikiwa kupita wilaya ya sumbawanga, nkasi na mpanda kwa pinda. Miongoni...
A recent news article about Ugandas President Yoweri Kaguta Musevenis scheduled May 12 swearing-in ceremony caught the eye.
The one-day fête is reportedly projected to cost $12.5 million - a...
Waungwana naomba msaada wenu wa kunijuza ni mbunge gani ambae kwa sasa anapigania maslahi ya taifa hili kwa ushujaa wa dhati?kwa sasa naona wote wanalinda maslahi ya vyama vyao na majimbo yao...
waungwana naomba msaada wa kuambiwa ni mbunge gani kwa sasa anapigania maslahi ya taifa hili?kila mmoja naona anapigania maslahi ya chama chake au jimbo lake na masuala ya kitaifa yana chwa bila...
hakika mwaka 2025 kutakuwa hamna hata mtu mmoja mwenye virusi vya ukimwi.
Mwananyamala kwa Manjunju kuna babuameibuka, anatoa kikombe baada ya kukusomea aya kutoka kwenye Quran
Mwarabu mwenye duka alimwambia kijana anayemsaidia kuuza duka.
"usimwambie mtu kuwa hakuna kitu hapa dukani, kama hakuna mwambie kimekwisha leo lakini tutaleta vingine muda si mrefu.
Siku moja...
Msafara wa Jk siku hizi una kuwa na gari la wagonjwa. Kama Bajaj alizoleta kwa ajili ya akina mama wajawazito zinafaa sana, kwa nini asitumie moja kwenye misafara yake badala ya ambulance ya...
...Wanajamvi, hivi first lady wa nji hii yupo wapi?, protokali zinataka Rais aapambatane nae katika ziara anazofanya, lakini ni muda mrefu sasa JK yupo peke yake katika ziara mbalimbali alizofanya...
Miujiza mingine mingine imeshuhudiwa huko Samunge jana baada ya mtu mmoja kuripoti kwa babu kuwa ameibiwa pochi na simu. Babu alimwambia mtu huyo ambaye ni Mkenya kuwa asiwe na wasiwasi, kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.