Wanadamu tunatofautiana fikra, vipaumbele nk, Hii ni kutokana na jamii iliyotuzunguka, changamoto tulizopitia, dini nk
Kuna jambo kwako linaweza lisiwe na umuhimu wowote na ukashindwa kuelewa...
Samahani wanaJF mimi nataka kujua kama kuna haja yoyote ya kuzindika gari ukilinunua? Na je unaweza kuwa unapata ajali mara kwa mara kama hujafanya hvyoo kwenye gari lako?
Maana nasikiaga watu...
Watu WA arusha mnakula bata wapi jamani au mnataka nirudi na perdiem yangu dar?
Nina siku ya 4 hapa usiku nafanya kazi ya kuhama viwanja Tu Ila sijaona sehem yenye vibe,sehemu yenye wadangaji...
Niaje!
Hivi ushawahi jitia kuukomoa msosi wa kwenye sherehe wewe? Haswa kama umeishi uswazi..
Mie miaka hiyooo kwenye sherehe ya jumuiya (wakatoliki tunaelewana) nilifakamia madikodiko hatar vile...
Ilikuwa form V, baada ya orientation, tunes za kujuana. Wengi tulishapewa majina ya rafiki wa rafiki ambae anakuja shule ile.
Dining siku ya kwanza mdada mmoja alimwaga magarage kisa alimkuta...
Nimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana.
Kila siku huwa nawaza sana hili suala!
Nalala nahisi maisha yamesimama mpaka pale ntakapoamka kumbe wapi😅😅
Nimejikuta ndotoni nina mwanamke nisiemjua, nimeshiriki nae mapenzi nikamaliza na...
habari mabwashee..
elezo kichwa cha habari.
kama katika matukio ya ujambazi nilishuhudia ni haya..
ilikuwa mwaka 2003 mwanzoni hivi.nilikuwa ndani ya costa kutoka moshi kuelekea arusha.kufika...
USIKATE TAMAA VS MLANGO MMOJA UKIFUNGWA MWENGINE HUFUNGUKA.
Sio kila kitu uking'ang'anie jifunze kujua mda sahihi wa kuondoka na kuachilia kitu ambacho sio sahihi kwako.
Point ni hivi, kama...
Kwa kawaida wanandoa,, au wapenzi wanatabia ya kuseviana majina kwa mitindo tofaut,, wengine kwa mitindo ya kimahaba mathalani Honey,, switie nk,, wengine wamesave Baba fulani au mama fulani...
Anayekutunzia siri zako ametupa na sisi pia tukutunzie, sisi ambao pia tuna watu tunaowaamini, tuliowapa pia wakutunzie ila wasikuambie.
Mwanzo wa siri kutokuwa siri ni kumpa mtu akutunzie.
Sio...
Leo ni siku ya 3 tangu nipumzike kutumia mtandao wa facebook ( nimediactivate my accont) nimeanza kuhisi kama naumwa, kweli hii mitandao ipo addictive ngoja nione nita-sustain kwa muda gani, sasa...
Kuwa muwazi, mara ya mwisho kubaili mswaki ilikuwa lini, ilikuwa ni muda gani umepita kabla ya kununua mswaki mwengine.
Binafsi mimi kama mimi kwa asili yangu nilikuwa natumia mswaki hata miezi...