JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari yenu wana MMU Ningependa kuchukua walau nafasi hii Kumshukuru sana mwenyezi Mungu pamoja na wazazi wangu kwa siku ya leo, siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Kama unalolote la...
4 Reactions
18 Replies
787 Views
Uzi maalum wa matajri wa JF mtupe uzoefu mbinu mlizo tumia kutusua maisha mambo gani ya kuzingatia hili makapuku tupate mwanga nasi tutusue.
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI. Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo. Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani...
29 Reactions
62 Replies
4K Views
Furahi day tulivu kabisaa naianza weekend yangu nikiwa Maeneo ya Sport bar Kigamboni Napata lunch yangu safi kabisa nikiwa na burudishwa na Mziki mzuri kutoka kwa EP ya Diamondplatnumz Huyu mwana...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Ukitaka kujua kuwa mpenzi/mkeo ni mzuri jalibu tu siku mutoke hakikisha yeye amependeza then muende sehemu zenye mkusanyiko wa watu kisha usitembee nae karibu muache urefu wa mita tu utakuja nipa...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Saaa sita kamili usiku nikiwa Pale ... Kuna Bar nyingi mwanaume nimechili zangu nakula moja moto moja baridi peke yangu,ila wenzangu wanakunywa zile zinazotokana na migomba, mara enkecha mara...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Tofauti na bia ambazo ukinywa tatu hutamani kula ila ukipiga konyagi yako au k vant kwanza huna wasiwasi wa kupata kisukari pia nyama unapiga vzr kitimoto kilo unaimaliza ila sio kwa bia. Maada...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Nawaheshimu sana wanawake...mbarikiwe sana mnamioyo ya ajabu sana nyie watu. Karibuni tupige story Espy Eroni Depal mahondaw Lizzy Yna2 Mzigua90 Shunie Hannah Karma Sky Eclat Karucee...
12 Reactions
44 Replies
1K Views
Kila mtu kabla hajapata kitu flani ambacho anakitamani kukipata huweka ahadi nyingi sana, na hata akiona mtu mwengine anacho basi humuona anakifanya vibaya. Mara nyingi tunapenda kushinda, kiasi...
1 Reactions
2 Replies
706 Views
salute comrades [emoji1536], kama mada tajwa hapo juu baadhi ya watu wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya watu walio na dread kichwani au marasta kwa lugha nyingine…vijana wengi now days...
4 Reactions
79 Replies
6K Views
Habari wanajamvi, Kama uzi unavyojieleza mm ni mwanamke (aga32) nimehamia Singida recently nahitaji company ya marafiki, dada, ndugu wa hiyari ( sio mpenzi please) kutokana na ugeni nimekua busy...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna video hapa inasmabaa mitandaoni ya anaesadikika ni 7ya, naona mwitikio wa hio video umekuwa ni kinyume tofauti na lengo la alieisambaza comments nyingi hasa kwa upande wa wanawake...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Nikiwa Nyuma ya Keyboard ya Computer Yangu nikiwaza na kuwazua mambo kadha wa kadha Naikumbuka Hii shule, shule iliyonipa maarifa mengi tofauti na ya darasani, story nyingi za duniani nilizijua...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Kwenye maisha au safari ya mafanikio lazima kuwe na dhoruba, ukikata tamaa utakaa kwenye hiyo dhoruba ukijituma utavuka hiyo dhoruba na neema itakuja. Usikate tamaa maana ukikata tamaa Baraka zako...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Yaani hili eneo, acha tu Sijui ni kwa sababu ya uwingi wa magorofa marefu yenye kufanana Mimi hadi leo napata tabu kukariri mitaa (with exception of few of them) Lakini hii mingine acha tu...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
DeepPond leo nimesalimu amri hawa watoto wa chuo wana vibe lao bwana
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Life ya Gheto bana. Kuosha Vyombo Ni shughuli pevu hatari. Kufua Hadi Weekend..hapa Ukizembea siku utakuta Umebaki na nguo moja Tu ya kuvaa. Ukiwa msela Haupendi Mtu ajue life yako full...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Hii WhatsApp status kiukweli inafatiliwa sana watumiaji wa simu janja swala lolote. Jana naona Ex wangu ananitambia kapata mume wakati alisha ni block na kila mda ananirushia vijembe. Ukipost...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Niliacha mfuniko wa jaba kubwa nje wakati nakinga maji ya mvua. Nao ukakinga maji, kutoa, imetoka ndoo kubwa na robo. Kama lita 25 hivi. I thought you should know😊
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Ndugu zangu mambo vipi. Kitambo kidogo ila nigga nipo na hustle zinaendelea kama kawaida sasa katika pitapita zangu nilikutana na hii pisi asee ina trakoooo hatari afu nyeupe huu ndo ugonjwa...
7 Reactions
141 Replies
10K Views
Back
Top Bottom