Wapo watu waliobarikiwa vipaji vya kufanya Mambo yao kwa speed ya pro max.Watu wa hivyo ukienda nao ugenini ikifika mida ya kula ole wako aisee!
Chakula kikiletwa mezani anatumia dakika Chache tu...
Nikiunganisha matukio ya hivi karibuni;
Zuchu
Zumarid
Na Huyu wa Mrema.
Mpaka sasa Mans tutaishia kupiga makelele tu mitandaoni ila kiukweli Tufanye sana Ibada hawa watu hatuwawezi,Ukikosekana...
Habarini ndungu.....! Kutokana na swala zima la uaminifu kushuka chini siku Hadi siku Basi Kuna hii njia mpya ya kuweza kugundua Kama mtu wako anachepuka ni simple na rahisi Sana.
Kutokana na...
Ukisoma kitabu Cha Daniel 2:1-48, utaona mfalme Nebuchardnezzer alivyoota ndoto ngumu Sana akawshindwa kuitafsiri mwenyewe.Akalazimika kumtafuta mtu atakayeitafsiri ile ndoto kea ufasaha na...
Kwa Hilo Joto La Dar Hapana, Inafika Mda feni Inazunguka Mpaka Inachemka Unaamua Kuiwekea Feni nyingine Ili ipozwe Iendelee Na Kazi.
Huenda Hata Sio Climate Kwa Kiasi Kikubwa Ikawa Ni Uasherati...
Kuanzia mwezi wa March nimekuja kugundua nikijipiga picha masikio siyaoni kabisa, ni mpaka nigeukie kamera upande wa sikio, kiukweli napata stress.
Baadhi ya watu wanasema nmenenepa ila ni mara...
Nauliza tu jamani,
Hivi mtu unaweza tumia mbinu gani kwa hali ya sasa Ukae mbali kabisa na kutumia Social media, yaani uweze kutumia simu ya kitochi tu!
Nimekaa nikawaza sana kuhusu hili na naamini wanaume tuna deserve free pass ya kwenda mbinguni kwa baba 😊kwasababu:
1. Tunarogwa na wake zetu tusichepuke
2. Tunarogwa na michepuko yetu...
DISCLAIMER: Huu Uzi hauna lengo lolote la upotoshaji kwa wasomaji kwahiyo naomba wana JF wauchukue poa tu
For instance the government decides to legalise everything in the country for a 24- hour...
Hello!
Leo bila shaka mshahara kwa watumishi wa umma utaingizwa kwenye akaunti zao.
Sasa sisi wa CRDB mzigo unachelewa kidogo, basi nyie wa NMB mkiuona mnishtue haraka ili nivae suti yangu...
Mimi nimetambuwa hawa kwa haraka haraka.
JESUS
Mao
Mandela
Michael Jackson
Che Guavara
Einstein
Queen Elizabeth
Martin Luther
Bob Marley
Musolini
Mohammad Ali
Bruce Lee
Dalai Lama
Kobe Bryant...
Haki ya Mungu aliyetengeneza hiki kinywaji simlaumu. Mimi nimeanza kunywa pombe nikiwa form two, uchaga umenikaa kwelikweli, pamoja na kuniletea majanga lakini sifikirii kuacha.
Nakumbuka siku ya...
Wakulungwa niaje?
Najua baada ya kuhangaika wiki nzima, pengine leo utakua sehemu fulani uki relax kupoza uchungu wa maisha kwenye ardhi ya ku tanga na nyika.
Kwa mliopo Dar maeneo ya Sinza, DM...
Najaribu tu ku-imagine ile siku tuko zetu mbinguni kwa Baba tumekaa tumesubiri tu kuandaliwa maziwa na asali na malaika wa Mungu afu ghafla anaingia shetani na nyaunyo mkononi na kusema" Kama...
Habari zaivipunde wakuu
Leo nimekanywa vikali na kitoto cha 2000 na mkwara mzito juu.
Kisa tuu rafiki yake kawa rafiki yangu.
Anahisi nitarumbuw muda wowote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.