Wengi wetu upenda kusema nikifikia hatua fulani ya maisha hakika nitafurahi, lakini ukumbuke siku hiyo hauijui, wala majira yake hauyajui na kwa kufanya hivyo hauwezi kuwa na furaha iliyo kamili...
Mida ya kusogelea viwanja unakaribia kufika. Mwanaume bila kuwa na ubavu wake wa kushoto, mapumziko huwa hayaendi vizuri.
Mida ya jioni, ndio huwa mida mizuri ya mitoko kwa wanawake pamoja na...
Mambo vipi wana MMU, baada ya mishe mishe za kutwa nzima tufurahi na kucheka wote tuongeze siku za kuishi,
Imagine upo town kwenye harakati zako ndani ya gari yako IST unaelekea kwako mara paap...
Leo mida flani nilikua kazini ghafla nikaskia haja yani hadi nikahisi naweza Jinyea leo
Nikakimbia choo cha ofisini RRRRR nasukuma ndani mtu akakohoa
Nikasema leo ndio leo Nafwaaa
Haya toka...
Habari zenu Wana JF wenzangu!
Kwa kujiunga ni new member lakini nimekuwa nikisoma nyuzi mbalimbali za mahusiano forum Toka 2014 Bila kulog in, nikafanya maamuzi nijiunge maana nimekuwa napata...
Ukizungumzia hii siku basi unazungumzia, siku ya kuwafanyia vibweka watu na vituko mbalimbali.
Huadhimishwa tarehe moja April , kwa kufanya mzaha au kituko chochote mbele ya mtu au kumlaghai juu...
Habari zenu wadau, nadhani nisipoteze muda ,
Hapa kijiweni vatcan usiku wa jana kumetokea matukio mawili ya kutudharirisha wanaume,
Jamaa flani akiwa amevalia jezi ya yanga hana hili wala lile...
Baada ya kutoa dukuduku ya Uwezekano wa JF kugeuzwa kuwa chama cha siasa, mitafaruku yaanza kuonekana katika baadhi ya wana JF hao.
Baadhi ya wakereketwa wamesikika wakisema wanajitoa mhanga kwa...
Asante Mwenyezi Mungu, Asante Wazazi wangu, Asante Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wangu, Asante wale Wote mlionilea na Kunijenga Kimaadili na Kinidhamu, Asante wote ambao mlikuwa na mnaendelea...
Najua wanawake especially wasichana wapo vizuri Sana kwenye hili.Hawa viumbe Wana uwezo wa kukariri number za simu kama Mia hivi kwenye vichwa vyao bila shida yoyote.Yaani anaweza akakutajia hizo...
Bujibuji najua huwa hupendi personal life iwe exposed, lakini kwa umuhimu wako hapa Jukwaani, niona nikutakie heri wee na Wana JF wote mnaoadhimisha siku yenu ya kuzaliwa leo.
Sina hela, sina kazi, ma HR wa humu JF nao hawataki kutushika mikono wenzao ili nasi tuwe binadamu kama wao,yani kwa kifupi ni fully vurugu tu.
Nimeamua huyu jamaa ndiyo awe rafiki kipenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.