Watoto wangu walipotoka shule wamenieleza walichojifunza shuleni.
Kwamba yai ukiliweka kwenye upright position yaani liwe kama limesima ukilikanyaga kwa juu haliwezi kuvunjika hata mzito kiasi...
Kama mti uzaapo matunda basi ndio na sisi tunavyozaliwa. Kuna matunda ambayo huotea chini na kuwa rahisi kuchumwa, haya hu represent wale watu waliobarikiwa kuzaliwa na visimati, na hawatumii...
Kwema Wakuu!
Ijumaa Kama ya Leo, Tarehe Kama ya Leo, mwezi Kama WA leo, Taikon niliwasili Duniani Alfajiri kabla ya jua kuchomoza, nikitokea Nyota ya Tibeli yenye mbawa Mbili irukayo tangu...
Katika maisha kila mtu anajua single-men wana madream wife zao so tuambizeni humu ma dream wife zenu ni wakina na nani ?
ambao mkioa hapo unajua nimepata sio nimepatikana tujuzeni.
Nimeweka sana juhudi kwenye kujijengea maisha lakini nguvu zote hazijafua dafu. Muda huu nimelala apa kitandani ila usingizi sipati kwa maana nipo kwa baba wakati ilinipasa niwe nafanya harakati...
Mara pap imetokea msako au ukaguzi tu wa kushtukiza katika simu yako..na ukapata sekunde chache kabla hujapokonywa simu yako kwa ajili ya huo ukaguzi...
Ili kulinda status yako/siri zako utafuta...
Rejea kichwa cha mada.
Ikiwa unampa pesa (kuhonga) kwa namna yoyote huna sababu ya kubembeleza kuombaomba sana.
Anacho takiwa kufanya ni kuheshimu matakwa yako direct order na sio kuanza kuuliza...
Inakuwaje unaandaa chakula iwe wali,ugali au ndizi, unakuta kama ni ugali au kati ya hivyo sahani inakuwa imejaa top lakini Cha hajabu mboga unakuta kwenye bakuli vimnofu 2 na mchuzi ugali mlima...
JF Stand up, put your hands up
Kuna watu umu wamekua na consistence yakuepo (online) na kuwa wachangiaji wazuri katika nyuzi mbali mbali hapa chamani kwetu JF. Members hawa wenzetu kiukweli...
Wakuu, tukiachana na watu wako wa karibu kukuomba pesa kipi kingine ukiombwa huwa unakereka sana? Binafsi ni haya matatu.
1.Simu yako ina dakika uniazime?
2.Kuombana vifaa vya kazi.
3.Kuombana...
Wakuu usije kumuuliza mwanamke umekula ni kosa kubwa.
Nimeuliza umekunywa chai? anataka nimtumie hela ya chai na vocha sijamjibu
Maendeleo hayana chama
TAHADHARI: MADA SIO YA KIDINI
Katika ulimwengu tuliopo na tulikopita kuna makundi au kazi ambazo ukifanya tu kaa ukijua lazma utende dhambi kwa lazma.
Orodha ambayo ni vigumu sana kuuona...
Akizungumza katika Kipindi Kizuri, Kitamu na Kinachoelimisha, Kuburudisha na Kufariji cha Mazungumzo ya Familia ( kutoka Radio One ) ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wa Kujilazimisha na Kujiteua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.